Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

Waachane kwani walioana
Hapo wanachojaribu kuangalia ni mali..mnawezaje kuchuma mali pampja alafu msiowane...yani mwanzo huko walikotoka mpaka wanazaa wamelea wamekaaa weeee mpaka leo hii wanajifanya wanaachana hao wakafunge ndoa tu wataelewana..
 
Kwani ukijua muhusika anayeomba huo msaada au ushauri itakusaidia nini.wewe jikite kwenye mada ndo lamuhimu ayo mengine siyo ya msingi kwasababu unaweza ukamjua mhusika na bado usisaidie chochote.Kwaiyo wacha wanaojua sheria watusaidie tujifunze kwasababu haya mambo yako mengi kwenye jamii.
Nachukia sana mtu muongo haswa anaehitaji msaada kwa kusema ni mtu mwingine ndiye anahitaji....utasikia rafik yangu anaumwa gonjwa anahitaj msaada,rafiki/ndgu yangu ameeachika anaomba ushaur wa kisheria
 
Manaswara mna taabu sana!What were they waiting for all those yers?Walikuwa wanazini tu miaka yote 7 na kutafuta mali?
Sura Ya Mia Na Mbili: At-Takathur
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.
أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ {1} Kumewashughulisha kujifaharisha kwa wingi!
حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ {2}Mpaka mkayazuru makaburi!
كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ {3}Si hivyo! Mtakuja jua!
ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ {4}Tena si hivyo! Mtakuja jua!
كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ {5}Si hivyo! Lau mngelijua kwa ujuzi wa yakini.
لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ {6}Hakika mtauona Moto!
ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ {7}Kisha, hakika, mtauona kwa jicho la yakini.
ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ {8}Kisha hakika mtaulizwa siku hiyo juu ya neema.
Maana
Kumewashughulisha kujifaharisha kwa wingi, mkaacha haki na matendo mema na kujifaharisha kwa wingi wa mali na mengineyo mfano wake; kama kusema: Mimi nina mali nyingi au nina cheo kikubwa kuliko wewe.
Mpaka mkayazuru makaburi.
Mmepita kwenye mghafala mpaka yakawafikia mauti. Imam Ali (a.s.) ana maneno marefu aliyoyasema baada ya kusoma Aya hii; miongoni mwayo ni: “Hivi wanajifaharisha kwa wazazi wao walio wafu, au wanajifaharisha kwa wingi wa idadi ya walioangamia? …. Ilitakikana hayo yawe mazingatio badala ya kujifaharisha.”
Si hivyo!
Acheni kujifaharisha kwa wingi, kwani hakuwafai chochote.
Mtakuja jua!
Adhabu itakayowapata.
Tena si hivyo! Mtakuja jua!

Huu ni msisitizo wa kutoa hadhari.
Si hivyo! Lau mngelijua kwa ujuzi wa yakini.
Yaani lau mngelikuwa mnajua kwa ujuzi wa uhakika matokeo ya kujifaharisha kwa wingi, basi mngelikoma kufanya hivyo. hapo kuna ishara kwamba ilimu bila ya matendo ni sawa na ujinga. Katika hilo Imam Ali (a.s.) anasema: “Ilimu inatoa mwito wa kufanya, asipouitikia inamwondoka.
Hakika mtauona Moto!
Hii ni kumhadharisha mwenye kuukadhibisha huo Moto, au akauamini lakini asifanye kwa mujibu wa imani yake. Mwenyezi Mungu (s.w.t.) ameleta kinaya cha kuona kwa maana ya kuuingia.
Kisha, hakika, mtauona kwa jicho la yakini.
Hii ni kusisitiza kuwa wataujua na kwamba wataujua kwa macho.
Inaonyesha kuwa nadharia yoyote isiyotegemea kuonekana na kushuhudiwa na macho moja kwa moja au kwa kupitia kitu kingine, basi hiyo sio ilimu. Kwa hiyo ilimu ya kweli ni kuliona jambo lenyewe au kuona athari yake inayolifahamisha. Ya kwanza inaitwa ilimu ya uoni na ya pili ni ilimu ya dalili.
Kisha hakika mtaulizwa siku hiyo juu ya neema.
Makusudio ya neema hapa ni mali wanayojifaharisha nayo, kwa lugha ya kusema au ya hali. Wataulizwa mbele ya Mwenyezi Mungu: wameipata wapi? Wameitumia vipi? Je, waliipata kwa jasho lao au kwa kupora? Je, wameitumia katika njia ya halali au haramu?
.
 
Section 160 of the Tanzania Law of Marriage Act provides that where it is proved that a couple has cohabited as husband and wife for at least two years, there shall be a rebuttable presumption that the two are married. Where such presumption is rebutted, the woman shall be entitled to apply to the court for an order of maintenance (and other reliefs) for herself and any children of the >union.
 
Ficha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...
Weka picha ya Range ukiwa nyuma ya usukani.
 
hahaaaa hii sheria ya miaka miwili au zaid ni sawa na wana ndo kweli ipoo,

kuna mdada alikaa kwa mwanaume miaka miwili na ushee mwishoni wakapata mtoto, kumbe lengo lilikua amchunee maana jamaa si habaa, jamaa wakat dem anaanza kuleta masuala ya kuachana akapigwa machalee, akawapanga majirani na bahat nzur alikua anaish nao vzr tofaut na ilivyokua kwa mdada, demu kwa kujiamin akalazimisha kufuata sheria, kumbe sheria hio hio ndio itamuua, majirani walimruka futi miaa, 'sisi huyu hatujawah kumuona tunayemuonaga kila siku ni yule pale..(jamaa alikua ashaepua chombo kipya).

Wanaume wenge wakianza mahusiano na wanawake ndio huharibuu, akipewa mahaba usiku asubuh anaenda ku edit jinaa, haya ni matokeo ya kuruhusu dushe lihusike kwenye maamuzi.

mm hata km tumefunga ndoa siwez andika kila kitu kwa majina ya familia, vingne napeleka kwa ndugu wa kuzaliwa, sio kwa nia ovu ila kwa tahadhari in case drama zikianza, though still nitafanya hv nitakapolazimika tu
 
.
Jirani anapogeuka msajili wa ndoa mfungisha ndoa watu.Kazi mojawapo ya jirani ni kufungisha ndoa watu aisee.Masaki watu wanaishi maisha self contained.Huyo jirani wa kutokea kusema hawa ni mume na mke najaribu kuwaza
Screenshot_20190706-094742.jpeg
 
Ficha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...

nifurahia ulivyo malizia .umepaki range...
 
kuna mtu humu aliandika vizuri mno kuhusu hiyo section 160 na mapungufu yake kwa kiingereza sijui moderator wameitoa nimemaliza tu kusoma nataka ku comment imepotea kama upo uliyeileta irudishe
 
Sijasema assumption..nimesema presumption of marriage.. is all about proof kaka...alafu usipende kukariri tumieni vifungu vilivyowekwa kisheria kupata haki zenu.....
..............Ajabu huyu mwana CCM anazikataa sheria walizotunga ndugu zake.nakueleza wewe YEHODAYA kama unaishi na kimada then umepanga kum-dump ili msigawane hizo mali mbili tatu mlizochuma pamoja subiri kunyolewa na sheria mlizojitungia.

Mnatunga sheria as if mmelewa ulanzi,ngoja ikukate kichwa ndo utatia akili.
 
hahaaaa hii sheria ya miaka miwili au zaid ni sawa na wana ndo kweli ipoo,

kuna mdada alikaa kwa mwanaume miaka miwili na ushee mwishoni wakapata mtoto, kumbe lengo lilikua amchunee maana jamaa si habaa, jamaa wakat dem anaanza kuleta masuala ya kuachana akapigwa machalee, akawapanga majirani na bahat nzur alikua anaish nao vzr tofaut na ilivyokua kwa mdada, demu kwa kujiamin akalazimisha kufuata sheria, kumbe sheria hio hio ndio itamuua, majirani walimruka futi miaa, 'sisi huyu hatujawah kumuona tunayemuonaga kila siku ni yule pale..(jamaa alikua ashaepua chombo kipya).

Wanaume wenge wakianza mahusiano na wanawake ndio huharibuu, akipewa mahaba usiku asubuh anaenda ku edit jinaa, haya ni matokeo ya kuruhusu dushe lihusike kwenye maamuzi.

mm hata km tumefunga ndoa siwez andika kila kitu kwa majina ya familia, vingne napeleka kwa ndugu wa kuzaliwa, sio kwa nia ovu ila kwa tahadhari in case drama zikianza
I hate mwanandoa anayependa kusema maneno ''ndugu zako'' ndugu zangu'' ndugu wa kuzaliwa'' in reference to mwenzake kwenye ndoa. Wanandoa wa aina hii mara nyingi huwa ni wale wanaoishi mguu mmoja nje mwingine ndani na utakuta wana makandokando mengi. Siyo kama nakataa kuwa kila mwanandoa ana ndugu zake ila ukishaona mmoja wa mwanandoa anapenda sana kuyakariri basi ujue ana walakini. Ni kutokana na experice yangu.
 
nifurahia ulivyo malizia .umepaki range...
Vitu vya kawaida jamani....kwani kuna Range ngapi mjini humu!!....hizo range zinamilikiwa na watu sio nyani na hao watu miongoni mwao ndio kina sie....hv ni kweli kumbe JF wamejazana watu waliochoka sana!!....range ni kigali tu....labda ungeniuliza toleo la mwaka gani....aah jameni!
 
kuna mtu humu aliandika vizuri mno kuhusu hiyo section 160 na mapungufu yake kwa kiingereza sijui moderator wameitoa nimemaliza tu kusoma nataka ku comment imepotea kama upo uliyeileta irudishe
Section 160 of the Tanzania Law of Marriage Act provides that where it is proved that a couple has cohabited as husband and wife for at least two years, there shall be a rebuttable presumption that the two are married. Where such presumption is rebutted, the woman shall be entitled to apply to the court for an order of maintenance (and other reliefs) for herself and any children of the >union<. The interpretation which courts have given to the above section is not clear and could lead to confusion. This is so mainly because courts have not drawn distinction between two different types of presumption, i.e. the first one dealing with long cohabitation where parties have not gone through any ceremony of marriage (section 160) and the second where parties have gone through a ceremony of marriage and the presumption relates only to the validity of that ceremony. This second type of presumption is covered under section 41 of the Act. Also judicial interpretation of section 160 has given the impression that this section can be applied to cases where parties had no initial capacity to marry. This interpretation is not legally tenable either because the law cannot presume against ifself. Unfortunately this opinion has the effect of denying financial benefits to many women cohabitees and their children but the wording of the section does not permit any other interpretation. Finally, given the fact that today a number of people are cohabiting without ceremony, the Act ought to provide for registration of such unions after the requirements of section 160 have been satisfied.
 
Back
Top Bottom