Wameanza tena...

Wameanza tena...

Poleni na uchovu wakuu,

Ijulikane kua nyumba nlopanga haina dari na mie ni bachelor

Basi jana nimewahi zangu kurudi ghetto ili niwai kulala nisisikie mishindo yao (coz automatic huwa inanipa mzuka) kumbe na wao walibadirisha ratiba saa nne wakaanza vurugu zao mi nkaona isiwe kesi nkatoka zangu kwenda ata nikajipooze na light ili nisije nkaishia punyeto bure

Kawaida huwa wanaanza saa tano hivi game ya nusu saa hivi koo saa sita hali ya hewa inakua imetulia, ndio maana mi mara nyingi huwa najirudia ghetto saa sita mpaka saa sita na nusu

Asa saizi nnavoandika hapa watu wako uwanjani afu huyu mwanamke ana sifa sana analia kama paka aani na anajua mi ni bachelor, ila fresh tu

Afu kukishakucha asubuhi ikitokea tumegongana macho, ananikazia macho afu anatabasamu hivi ila poa tu

Hivi nyie wanawake hamuezi kudoo bila ku moan?

Najiona kabisa hapa sina ujanja final ntaishia punyeto tu, najua kuna watao nishauri nivae earphones ili nisisikie miguno ila niwaambie tu nishajaribu hivo mara kibao mwisho wa picha najikuta Mimi mwenyewe automatic bila kushinikizwa na mtu nazitoa, usiniulize kwanini coz ata Mimi mwenyewe sijui huwa nazitoaje,

Niwatakie asubuhi njema yenye baraka, wale mtaoenda kanisani mkatuombee jamani
Sasa kwanini na wewe huleti demu umnyandue,wao wskianza kunyanduana,wakilia hivi wewe na yule bby wako mnalia vile
 
Under 20. Kama ni up 27 basi akili ina kilema. Hama nyumba. Tafuta hela sana kijana achana na hayo. Saa hizi ungekuwa una hela wastani unajipangia zako chumba kimoja self,dirisha aluminium,Gypsum saaaaafi,husikii upande wa pili
Kwene nyuzi zisizo husiana na pesa mna komenti pesa watu wakiomba connection za madili ya pesa ata za kishirikina hamna connection

Hela lazima itafutwe kivyovyote Koo epuka kusisitiza kitu cha lazima
 
Kwene nyuzi zisizo husiana na pesa mna komenti pesa watu wakiomba connection za madili ya pesa ata za kishirikina hamna connection

Hela lazima itafutwe kivyovyote Koo epuka kusisitiza kitu cha lazima
Nimegundua dish limeyumba. Si lazima ujijue
 
Back
Top Bottom