Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,864
- 15,080
Mbona naona hivyo bila VPN huingii kokote
Au ni kwangu tu?
Moderator nlimaanisha kufungia.
Au ni kwangu tu?
Moderator nlimaanisha kufungia.
ok.Mbona naona hivyo bila VPN huingii kokote
Au ni kwangu tu?

Dah mkuu😭Kwako tu mkuu ila hakikisha unapost hii picha
Bora wewe unajitambua, sio yule chawa DR HAYA LAND mwenye I'd kama yako.Sema washaanza kupunguza mtandao speed Hawa jamaa wabinafsi hawatazami kuwa Kuna wanafanya biashara wanategemea intaneti , n.k
SawaMbona unalia
Hakikisha una post
VPN tena.Mbona naona hivyo bila VPN huingii kokote
Au ni kwangu tu?
Moderator nlimaanisha kufungia.
Facebook, Instagram,YouTubeNilianza kuizima washa zima washa wifi yangu. Akili ikanikumbusha leo tarehe 6 we mjinga shtuka. Nikagonga VPN on
Naona hata kwangu. Hii tabia ifike mahali ikome. Alafu ni mtu mzima kabisa anayefanya hivi....Mbona naona hivyo bila VPN huingii kokote
Au ni kwangu tu?
Moderator nlimaanisha kufungia.
Ndio hivyoVPN tena.
Sasa Mimi Huwa sielewi haya mamboFacebook, Instagram,YouTube
Sijui mwingine
Kuna watu wanaruka live labda ndio kikwazo kwao
Ni kweli madam ,kwangu mtandao haupandi kabisa imebidi niwashe vpn😎Mbona naona hivyo bila VPN huingii kokote
Au ni kwangu tu?
Moderator nlimaanisha kufungia.
😄 Tumekuwa vitukoNi kweli madam ,kwangu mtandao haupandi kabisa imebidi niwashe vpn😎