Wameanza kufungia mitandao kuelekea hukumu?

Wameanza kufungia mitandao kuelekea hukumu?

Sasa Mimi Huwa sielewi haya mambo


Mfano ukiangalia biashara nyingi zinategmea hiyo mitandao kufanya marketing, kuwasiliana na clients n.k


Je kabla hawafunga mitandao Huwa wanawafikiria wenzao au wanaangalia interest zao za kisiasa.
Ndiyo niyawazayo hapa.
Tuna safari ndefu sana kufanikiwa.
Ndio maana hata makampuni yanafunga ofisi zake yanaondoka kama Uber sababu ya ujinga kama huu
 
Ponda Issa akimuangalia Lissu anaona harakati harakati haralati zenye muelekeo na zilozolenga mabadiliko ya kweli kutokea ndani na sio njaa na udalali wa ajabu ajabu.
 
Ponda Issa akimuangalia Lissu anaona harakati harakati haralati zenye muelekeo na zilozolenga mabadiliko ya kweli kutokea ndani na sio njaa na udalali wa ajabu ajabu.
Walidhani lissu ni mbowe akataka amuhonge mil 500 kagoma
Mzee kibao alivyokemea rushwa Kwa wanachama kuonekana kikwazo kauwawa
Siasa za udalali zimepita.lissu ndiye mpinzani wa kweli
Na tutasimama nae Hadi mwisho
 
Kufungiwa haibagui hata masisiemu na machawa ndani yani
😄😄 Machawa Wana mtandao wao uko speed mkuu
Halafu hata mafuta yakipanda nauli zikipanda wao wanalipa zilezile za zamani Kwa kadi ya CCM

Africa tumelogwa
 
Back
Top Bottom