Wameadhibiwa na dunia...

Au niongee na TYTA aweke, naamini anayo, wewe siulienda kwenye ile party ya jf? hahahaaa, pressure juu toto la kichaga.
hata sikuenda kwenye party niliogopa kukosa uhuru humu jukwaani.... sasa mkuu usijeruka tena ukuta sawa
 
Pole sana, ila sii wote lakini kwa asilim ia kubwa ni hivyo

Shemeji shemeji, kumbe shemeji kula
 
Siku hizi hakuna marafiki, kuna washkaji na mashostito tu
 
Siku hizi hakuna marafiki, kuna washkaji na mashostito tu
Very true, marafiki ni enzi za wazaz wetu..Nakumbuka baba aliku akisafiri anamwachia majukumu rafiki yake ya kutuangalia kwa lolote baya atatue.
 
wewe ndiye umekomoleka unless ugegede mkewe hapo ndio uje jf kueleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…