Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

hili ni onyo kali kwa wana JF woote; (don't try this at home)
1.kama wewe ni mwanaume, usiruhusu rakiki yako akae tumbowazi mbele ya mkeo/gf wako. utakuja kulia.
2.kama wewe ni mwanaume, usiruhu mkeo apite mbele ya rafiki yako akiwa anatoka kuoga au akiwa na kanga moja.
3.kama wewe ni mwanamke usiruhusu mumeo akae tumbowazi mbele ya shost wako
4.kama wewe ni mwanamke usiruhusu mumeo apite mbele ya shost yako akiwa anatoka kuoga.
 
Mzee ukarimu ni kitu tulichoumbiwa wanaadamu, roho mbaya ni kujifunza. Huyu jamaa tunafahamiana toka utotoni kwani tunakaa mtaa mmoja huko tulipozaliwa. Hivyo ni zaid ya urafiki.

.......si ndio alikuwa anapunguza gharama.....kutafuta dem nje mizinga mingi,,, kwa freee.....achana nae huyooo...songa mbele...
 
.......si ndio alikuwa anapunguza gharama.....kutafuta dem nje mizinga mingi,,, kwa freee.....achana nae huyooo...songa mbele...
Thanks mkuu..haya yote ni mapito tu.
 
hili ni onyo kali kwa wana JF woote; (don't try this at home)
1.kama wewe ni mwanaume, usiruhusu rakiki yako akae tumbowazi mbele ya mkeo/gf wako. utakuja kulia.
2.kama wewe ni mwanaume, usiruhu mkeo apite mbele ya rafiki yako akiwa anatoka kuoga au akiwa na kanga moja.
3.kama wewe ni mwanamke usiruhusu mumeo akae tumbowazi mbele ya shost wako
4.kama wewe ni mwanamke usiruhusu mumeo apite mbele ya shost yako akiwa anatoka kuoga.
very true..point taken.
 
Pole mkuu ila wifi nae maharage ya mbea maji mara moja.
 
Miss chagga ananipa huduma ya kwanza kwani nimetoka kujeruhiwa, najitahidi kusahaa haya majanga..Thanks jf
Hahaa anakupa huduma ya kwanza....haya bwana ngoja tumwache aendelee na kazi yake...
 
bwana unakosea heri kumfadhili mwanamke kuliko mwanaume... kwa sababu mwanamke unaweza kula mzigo

Hahaa unanifurahisha sana inabidi ufanyiwe maombi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom