Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

Wakati mwingine tubadili mtazamo...mtu ana uwezo,akiamua kukaa hotelini,wewe inakuuma...achana na mambo yasio na tija kwako,songa mbele,fanya mambo yako!
 
pole sana kugundua ndo kujifunza umegundua tabia ya mwanamke uliye naje
 
hatimiliki tafadhali!!!

namasteeeeeee!!! lols!

ngoja aje...
Nimeongea na mmiliki mkuu, tumekubaliana kwa masharti nafuu..ila ntaondezea DOOST (rafiki) mbele ya namaste.
 
jamani sister nampa kampani tu kwa mda ila dikembe mgumu huyo wacha tu ila hapa kakutana na ugly women ataingia kingi tu
Hhahaha..i like that, ugly women!!! nitakua peke yangu hata marafiki hawatanisaliti tena. NAKUPEENDA TUU, HOOONEY! NAKUPEENDA TUU, PUA KAMA NGUMI, NAKUPEENDA TUU,...dudu baya ..
 
Back
Top Bottom