Wameadhibiwa na dunia...

Uko sahihi mkuu wangu, historia ndio inajenga wakati uliopo na ujao..Historia inampa mtu kujiamini..
 
tujipange kwanza mkuu, haya mambo pia yanataka utulivu na muongozo wa kiroho zaidi, sababu ni maamu ambayo yanaweza kuvuruga au kutengeneza maisha yako.

kabisa kabisa aisee.... sasa chalii ombi langu vipi?
 
Kwani wewe ulimuoa? kama ni hawara tu, jiulize ulimpataje wenzako washindwe?

Kuchapiwa ni mke tu, hawara analiwa kama unavyomla wewe, huo ndio ukweli.

Sasa kapime UKIMWI.
 
Wew ukideka tu na uonyeshe mapenzi ya dhati hapo hela itatafutwa utadhani ni ya kwetu tumeipoteza tu.. i like that

mimi nakupa yote wewe tu lakini sitakupa kile alichokupa nurse aah hicho sikupi... ila kudeka , mahaba utapata
 
Kwani wewe ulimuoa? kama ni hawara tu, jiulize ulimpataje wenzako washindwe?

Kuchapiwa ni mke tu, hawara analiwa kama unavyomla wewe, huo ndio ukweli.

Sasa kapime UKIMWI.

Dada yangu ur too hard..ok, aksante pia
 
mimi nakupa yote wewe tu lakini sitakupa kile alichokupa nurse aah hicho sikupi... ila kudeka , mahaba utapata
Hahahaaa..kile cha nurse? wewe una balaa wewe. hayo mambo hayapo kaskazini, ila Miss chagga naskia ndio katabia ka mjini siku hizi? is it true? in case umesikia pia..
 
Kwani wewe ulimuoa? kama ni hawara tu, jiulize ulimpataje wenzako washindwe?

Kuchapiwa ni mke tu, hawara analiwa kama unavyomla wewe, huo ndio ukweli.

Sasa kapime UKIMWI.

You nailed it home girl! Need I say more!
 
Hayatuhusu. This is your private business
 
Hahahaaa..kile cha nurse? wewe una balaa wewe. hayo mambo hayapo kaskazini, ila Miss chagga naskia ndio katabia ka mjini siku hizi? is it true? in case umesikia pia..

mjini humu bwana nasikia mpaka uruke ukuta ni nouma aisee... kwetu sisi aisee iyo mambo hayapo
 
dah, pole sana mkuu. ila ndo maisha hayo na hizo ndo changamoto cha msingi ni kutatua hizo problems maisha yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…