Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

Auto-Marvelt

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
2,578
Reaction score
5,378
Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote.

Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu.
Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua Rose 2009 nimeitafuta platfom zote sijabahatika kuipata, ana nyimbo nyingi sana alizotoa 2010 hadi 2015.

Nyimbo zake hizi hapa;

Amonaizy Wamataizy - Nikipenda


Amonaizy Wamataizy - Wrong Number

Amonaizy Wamataizy - Hanaga Shemeji

2020
Baada ya kuona Harmonize wa WCB amekuwa maarufu na majina yanaendana (Amonaizy + Harmonize) aliamua kubadilisha jina (kuna story ya wawili hao) jamaa aliamua kubadili jina na kujiita Amoh na kuna wimbo mmoja aliutoa 2020 akitumia jina hilo

Amoh - Sesa
Screenshot_20250823-232817.jpg


2025
Nilishtuka sana juzi baada ya kumuona kwenye interview ya Mwijaku tena akinyenyekea kama mtoto licha ya kipaji chake. Naamini kama umesikiliza hizo nyimbo utakuwa umegundua kipaji ambacho kimejificha ndani yake na cha kufurahisha jamaa anajiandikia nyimbo zake

Instagram anatumia Wamataizy na ametoa ngoma inaitwa mwambie, video kali sana

TUMSAPOTI TUMSAPOTI TUMSAPOTI
 
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Nyimbo zake nzuri sanaa
Mchana niliiona video akijidhalilisha kwa Mwijaku nikaona ni Bwege kama maBwege wengine

NISAMEHE KAKA.
Ungetuma ngoma zake nyingine😆😆
 
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Nyimbo zake nzuri sanaa
Mchana niliiona video akijidhalilisha kwa Mwijaku nikaona ni Bwege kama maBwege wengine

NISAMEHE KAKA.
Ungetuma ngoma zake nyingine😆😆
GwajiBoy nakubali mwambaaa
 
Mwanaume kumpogia mwanaume mwenzake magoti ili asaidike inamfanya anakua mvulana.


Uwamuzi wake wa hovyo utamfanya watu wengi zaidi kumpouzia, Mwanaume Stay Solid!!!
 
Mwanaume kumpogia mwanaume mwenzake magoti ili asaidike inamfanya anakua mvulana.


Uwamuzi wake wa hovyo utamfanya watu wengi zaidi kumpouzia, Mwanaume Stay Solid!!!
Kazingua sana, nahis hana management na kama anayo aachane nayo
 
Back
Top Bottom