Mombo Wetu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2008
- 377
- 36
Acha kuongopa. Wana maeneo yao, lakini kinachofawanya kuhama kwenye maeneo yao ni ukame na sio kunyang'anywa kwa maeneo yao.
nani mwongo zaidi ya mwenzake? Soma kitabu cha Charles Lane 1990s; Pasture Lost- Problem of policy a case of Barbaigs. Uone wafugaji walivyokuwa na rich knowldge kuliko ecologists wetu wengi wakuchonga. Wao kama wao wala ukame usingetokea kwa hii magnitude na rate hii although kuna climate change contribution ambayo ni global issue lakini severity inachangiwa na localsettings pia. Tatizo ni marginalisation iliyo convert maeneo mengi na kuwasukumiza kwenye vanzo vya maji na kuleta ecological alteration kwenye ecosystems. Mfano mzuri ni kinachofanywa na idara ya maji huko Hanang' wame tap maji yote kutoka kwenye chanzo sasa ground recharging sijui itafanyikaje matokeo wanasingizia watu wamevamia msitu wa kwenye mlima...no thank you hizi myths zetu bila scientific verification ziatupeleka pabaya sana.