Wamasai,Wairaqw,Wabarabaig, Wasukuma, waambiwa warudi "makwao". | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamasai,Wairaqw,Wabarabaig, Wasukuma, waambiwa warudi "makwao".

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Apr 18, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Apr 18, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..Raisi Kikwete yuko tayari kuwapa ardhi kubwa tu Wasaudia, wakati wananchi wake mwenyewe wanateseka kwa kukosa ardhi ya kulisha mifugo yao.

  ..hivi serikali haiwezi kutengeneza mpango mzuri zaidi wa kuwapatia wafugaji maeneo ya kuendesha shughuli zao? kwanini wananchi wanyanyaswe namna hii ktk nchi yao wenyewe?

   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Taabu ya wafugaji Watz ni kuvamia maeneo ya wakulima! halafu ni ule ufugaji wa 47 usiokuwa na tija! Mtu ana ng'ombe 5,000 wakati hana eneo la kuwalisha!

  Je serikali imsaidieje? Afunge wachache wenye tija ktk enoe dogo!

  Niambie mchango wa ufugaji ktk uchumi wetu Tz??
   
 3. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180

  Jokakuu:


  Jamii ya wafugaji iliyopo Kilosa haina respect na wakazi wa wilaya hiyo. Mkulima anahangaika na mtu anakuja kulisha ng'ombe kwenye shamba la mtu.
  Kama taifa lenyewe ni hilo basi tugawane nchi

  Vilevile wenyeji wa wilaya ya Kilosa ni mchangayiko wa makabila mengi. Wengi walikuja kwenye shughuli za mkonge. hivyo hili sio suala la ubaguzi bali jamii za kichungaji zinabidi zikubali maisha yao ya jadi au kurudi makwao.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Apr 18, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa nini serikali na taasisi zake zisidhamirie, kuelimisha jamii hizi za wafugaji ili kuwawezesha kuishi kulingana na hali halisi ya sasa!?

  Serikali inapotaka jambo lake sidhani kama wanaweza shindwa, miaka ile ya enzi ya ujamaa, serikali iliweza kuwakamata watu kwa nguvu na kuwapeleka kwenye vijiji ambavyo viliitwa vya ujamaa (gezaulole, mwanagilatu n.k.). Japo kuwa zoezi halikufanikiwa sana, lakini serikali ilionyesha uwezo wake.

  Hawa wafugaji wana haki ya kuishi popote pale ndani ya ardhi ya JMT, mladi tu watafuata sheria.

  Imefikia wakati sasa serikali kwa makusudi kabisa wawawezeshe hawa wafugaji kwa kuwatafutia eneo muwafaka, eneo ambalo litaendana na hali halisi ya mifugo yao.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Zakumi,
  Kurudi makwao siyo solution. Solution lazima itafutwe na serikali ya eneo. Tunayo ardhi nyingi, watafute njia ya kuwatenganishia maeneo wakulima na wafugaji. It can be done.
   
 6. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280


  Sasa nyinyi mnalaumu ndugu zetu eti wana ufugaji wa mwaka 47..sasa nyinyi mbao mna uelewa na usomi..mbona mnaendesha nchi kama tuko karne ya 18? Si afadhali yetu sisi tuna hata hiyo mifugo? Tumewakabizi nchi muweke sera endelevu..ndo hapo mnaanza kuiba na kujichukulia raslimali za nchi kama mali binafsi.

  Unemployment rate Tanzania ni ngapi? Kwanza hata serikali haijui maana haina takwimu. Sasa sisi tuache kufuga watu wetu watakula nini?

  Na msisahahu sisi ni jamii ya wafugaji na wakulima. Pamba tumelima mno..serikali inaishia kutwambia eti..bei ya pamba imeshuka, viwanda vilivyokuwa vinanunua pamba hiyo hiyo serikali wameuziana vimekufa vyote...sasa watu waende wapi?

  Wasomi wa nchi yetu ndio tatizo. Si mkulima wala mfugaji. Wekeni sera madhubuti watu waishi maisha yao..siyo kuendesha nchi kama kichwa cha mwenda wa zimu...mtu hajui akiamka atakula nini..ni kusukuma sukuma bora siku ziende..Lol
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni lazima warudi walipo toka ili kuepusha vita vya ndani baina ya makabila ,ufugaji wa kileo ni kutumia eneo lako maalum sio ule wa miaka 50 unazunguluka Tanzania nzima kusaka majani pengine una ng'ombe za kuiba ,halafu hii ya kutumia eneo lako litazuia wizi wa mifugo ,itakuwa hakuna sababu ya kuhama hama ,yaani ukimkuta mwizi wa ng'ombe utamjua na mapema lakini leo kila unaemkuta anakwambia ng'ombe ni zake anatafuta majani ,huu ni wakati mwengine ,lazima waelimishwe kwenda na wakati ,kuna wale waliokimbilia Zenji huna hata hata la kuwambia wala hawataki kusikia habari za ng'ombe ,anakupigia sharti na sruwali au kanzu ya kiarabu na kibaraghashia na wala humjui labda umchunguze sana ,wameendelea kwani wamefika ulaya ya East Africa.
   
 8. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanavamia kwa sababu maeneo yao ya asili yamegeuzwa kuwa hifadhi za taifa na maeneo ya kilimo. Selikari baada ya kufanya hivyo iliwapatia maeneo mbadala? Kama selikari imeona kuwa ufugaji wao ni wa mwaka 47 kama ulivyosema, je njia sahihi ya kuwasaidia kuboresha maisha yao ni kuendelea kupora ardhi na mifugo yao au kuwasaidia wabadilishe mfumo wa ufugaji wao kuwa kisasa katika maeneo yao? Kwa ujumla kinachofanyika ni kuwa uonevu kwa wafugaji. Tumeshindwa kuitumia oppotunity ya ufugaji wao kuwa njia kuu ya kuingiza kipato na kuondoa umaskini bali mafisadi katika maeneo husika wameigeuza ni njia ya kujinufaisha through primitive accumulation of capital kama; uporaji wa mifugo na ardhi.
   
 9. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Warudishiwe maeneo yao yote ambao mmeyageuza kuwea ya kilimo na hifadhi kama mnataka warudi kwao otherwise mtakuwa hamna plan maalumu ya kuwasaidia watu hao ili waishi katika nchi yao bila matatizo yoyote na jamii nyingine.
   
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Inawezekana Wandugu,

  Mbona Ihefu walihamishwa kwa nguvu na wakahama??

  Hapa hakuna cha kubembelezana: kama wafugaji wanvamia mazao ya wakulima kwa nguvu basi nguvu itumike kuwadhibiti!

  Kilosa ndo wafugaji wamedhibitiwa kama Ihefu ndo maana wanapiga kelele! yaani ng'ombe mmoja akikamatwa amevamia mashamba faini ni 5,000 kwa kila ng,ombe!

  Sasa serikali iwabembeleze hadi lini??
   
 11. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Jokakuu:

  Tatizo la wafugaji ni Normads (period). Kama kusingekuwa na mipaka wangefika Zambia au Msumbiji.

  Solution iliyokuwepo ni wao kuweza kutumia mazingira yao kwa shughuli zao. Mkoa wa Morogoro una maeneo kwa wafugaji waliofika miaka ya 70 au kabla. Lakini hili ni wimbi jingine.
   
 12. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180


  Acha kuongopa. Wana maeneo yao, lakini kinachofawanya kuhama kwenye maeneo yao ni ukame na sio kunyang'anywa kwa maeneo yao.
   
 13. F

  Felister JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mchango wa wafugaji ni nyama choma unayofurahia kwa bei rahisi kwenye baa ukisukumia na bia ambayo ni tunda la zao linalolimwa kwenye eneo ambalo zamani lilikuwa machungio ya hao ng'ombe na gari zuri unaloendesha ambalo linachangia mshahara wako huo mkubwa unaowezekana kwa utalii ambao ni eneo ambalo kwa asili ni maeneo ya machungio ya hao ambao leo hawana kwao. Bila huo ushamba wao leo wewe usingekuwa na hizo mbuga zote unazozifurahia kwani zingekuwa ecologically converted to settlement through uncontroled births. Hayo ni kwa uchache otherwise kama kweli unajali haki za binadam hawa watu compansation yao ni sawa sawa na fedha zote za utalii tunazoringa nazo sasa je utaweza kuwa compansate?
   
 14. K

  Kleptomaniacs Member

  #14
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wanaosema ufugaji umechangia asilimia ngapi katika uchumi wa Taifa wapo makini kweli ama wana bwabwaja?ili kufahamu mchango wa sekta hii katika uchumi nawashauri kabla ya kuchangia mpitie hapa www.fao.org/AG/againfo/resources/en/publications/sector_briefs/lsb_TZA.pdf halafu ndio waendelee kutoa upuuzi wao na pumba hewani! ebu tuache kuwa na chuki na kufuata kauli za wanasiasa waliopoteza mwelekeo, wameshindwa kuendeleza sekta ya mifugo na ndio wao chanzo cha yote haya.
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Apr 18, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..Wabarabaig waliporwa eneo la malisho ya mifugo ndiyo ukaanzishwa mradi wa ngano wa NAFCO kule Basuto.

  ..Issa Shivji na Ringo Tenga wamewapigania sana Wabarabaig wa Basuto lakini serikali imekuwa na kiburi.

  ..mwananchi kuwa na ngombe 5000 is not always a bad thing. serikali inapaswa kumpelekea utaalamu wa kufuga kwa kisasa zaidi. hivi mabwana mifugo wetu pale Sokoine Univ tunawasomesha ili wafanye shughuli gani?

  ..
   
 16. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mie nafikiri ingekuwa vizuri tungeanza brain storming namna nzuri ya kuwasaidia wafugaji ili waanze kufuga kwa tija na kusedentalize badala ya kuwafanya wajione kuwa hawatakiwi katika nchi hii.

  Naanzisha thread ya nyingine ya kupata maoni ya namna nzuri ya kulihandle suala la wafugaji ili waweze kufuga kwa tija. Wenye mawazo mazuri naomba mkiona hiyo thread msisite kuchangia.
   
 17. K

  Kleptomaniacs Member

  #17
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We need special care in meat production
  2009-02-18 10:05:04
  By Christopher Magola


  In early 2007 the National Assembly passed a bill of a new law, The Meat Industry Act, 2006. The legislation intends to regulate animal meat and meat production and develop and promote meat and meat products, processing, marketing and consumption in order to meet the current socio-economic changes occurring in Tanzania.

  The new initiative will, among other things, involve various stakeholders in the development of the meat sub sector and to eliminate problems facing the sub sector in the country.

  The ultimate goal is to promote at large the livestock sector in Tanzania.

  The Bill was passed after a livestock sector stakeholders' meeting to discuss, among other things, the role of the sector in poverty alleviation and to ensure it contributes 9% to GDP by 2010.

  The meeting in October 2006 was told that the sector's current contribution to GDP was very low compared to its anticipated target.

  Tanzania is rich in indigenous farm animal genetic resources (AnGRs).

  In cattle numbers it ranks third in Africa after Ethiopia with 31 million cattle and the Sudan with 30 million.

  Tanzania is estimated to have 18.5 million cattle, 13.1 million goats, 3.5 million sheep, 50 million poultry and over 1.2 million pigs.

  Livestock production is one of the major agricultural activities in Tanzania.

  The sub sector contributes to national food supply, converts rangelands resources into products suitable for human consumption and is a source of cash incomes and an inflation – free store of value.

  According to national statistics livestock provides about 30 per cent of the Agricultural GDP.

  Out of the sub sector`s contribution to GDP, about 40 percent originates from beef production, 30 percent from milk production and another 30 percent from poultry
  and small stock production.

  Taking into account of the livestock population the sector`s contribution to GDP is very low mainly due to various constraints facing the sector as outlined recently by the Minister for Livestock Development and Fisheries John Magufuli in his ministry`s report over the past three years.

  The new act proposes establishment of a new machinery to oversee all livestock activities.

  Boards will be formed at the local government level to monitor processing and marketing of specific products while a council consisting of all stakeholders would advise the Ministry of Livestock on how best to manage the industry.

  When winding up debate of the Bill the former Minister for Livestock Development Anthony Diallo admitted that the livestock industry had for long remained unregulated following liberalization in the market economy and disbandment of several parastatal organizations.

  He said Lida which was established in 1974, was responsible for regulation of production, processing and commercial activities in the livestock industry.

  Lida regulated activities of other state-owned companies including National Company for Livestock Business.

  Others were the National Cold Chains Operation National Ranches Company, Dairy Farmers Company, Tanzania Dairies Limited, National Poultry Company and Tanganyika Packers Limited.

  In their contribution Members of Parliament said the new initiative to revamp the industry must also see expansion of commercial ventures in ranching, dairy and poultry farming.

  Tanzania has not had a meat packing plant since the demise of Tanganyika Packers Limited more than a decade ago.

  Economic analysts say with lack of meat packing plants, poor strategies of commercialization of the sector and with only a few abattoirs, the economic contribution of the abundant livestock has been insignificant.

  Tanzania has very few functioning modern abattoirs including one in Dodoma in the central zone with a capacity of slaughtering 200 cattle and 200 goats per day and one in Arusha whose facility has also a capacity to slaughter 200 cattle per day.

  Both regions are rich in cattle breeding. To promote the meat industry Anthony Diallo said Tanzania was considering to revive three meat plants that operated under the defunct TPL and putting up three new ones.

  The plants to be revived are those in Mbeya, Shinyanga and Ruvu.

  The new ones will be built in Iringa, Dar es Salaam and the Lake Zone.

  The move comes at a time when in efforts to promote the sector the government has secured a market to sell beef in Comoro, Kuwait and the United Arab Emirates.

  Promotion of the meat industry will expand the market of livestock stockers taking into account that at least 94 per cent of cattle in Tanzania are owned by livestock farmers while 1% of the livestock keepers are pastoralists. The remaining are large livestock keepers and ranches.

  However analysts say in order to be successful, the meat industry in Tanzania must be accompanied with introduction of feedlots in all meat processing plants.

  They say currently the majority of Tanzanian cattle offered at cattle markets for slaughtering are held using the extensive grazing system meaning each animal has 4 to 5 hectares to graze, without receiving any additional feed or medical treatment.

  Disadvantage of this system is that the animals get fat during the rainy season and thin again during the dry season having a deteriorating effect on the quality of the meat designated for consumption.

  Due to this system of grazing it takes on average 5 to 6 years before an animal has reached the optimal weight to be slaughtered and even then the carcass weight is often relatively limited.

  The molasses project in Mtibwa is showing promising results in fattening cattle using the feedlot system.

  A feedlot is a specially constructed pen in which animals are fattened until they reach the stage to be slaughtered.

  During this period the animals receive a specially balanced ration containing all required nutrients. This ration includes molasses, cotton seed cake, maize, minerals, straw, urea and salt.

  The advantage of the feedlot fattening system is that animals are bought at the age of two years old and then fattened for a period of four to six months only, during which period the animals gain on average 1 kg live weight per day.

  The animals are not experiencing the cycle of fat-thin-fat and combined with a well-balanced high quality food ration results in high quality meat. After this period the animals will have reached a live weight of approximately 350-400 kg per animal.

  According to veterinary experts animals of 350 to 400 kg live weight, with a carcass weight of 50 to 55 percent result in approximately 175 to 200 kg carcass weight and around 115 to 145 kg of higher quality beef products once deboned.

  Investment projects in modernizing the animal slaughtering and meat processing sector are emerging. In Morogoro, Dodoma and Sumbawanga new, smaller sized, slaughterhouses have been constructed.

  However because of the high costs in fattening cattle through the feedlot system a deliberate move to attract investors is necessary in order to promote the meat industry across the country.

  For example for the fattening of 2,500 animals per month the costs per animal are calculated at EUR 90 in addition to the procurement of the animal of EUR 115 for Zebu and EUR 162 for Boran cattle.

  But preliminary investigations indicate that export markets for meat (Egypt, Saudi Arabia, Oman and UAE) are very competitive.

  In addition to meat export, in his Ministry`s report over the past three years John Magufuli mentioned some of the constraints facing the meat industry including people`s attitudes towards meat and milk consumption in order to expand the local market.

  For example per capita average consumption of meat in Tanzania was 10kg per annum against 50kg recommended by the Food and Agriculture Organisation (FAO) and the World Health Organization(WHO). Therefore there is need to sensitize meat consumption in order to expand the local market.

  During a visit to Rukwa Region recently the Minister for East African Cooperation Deodorus Kamala said it was high time for Tanzania to stop exporting live animals but value added livestock products including meat.

  Speaking after an inspection tour of a meat factory in Sumbawanga Rukwa Region (with a capacity to slaughter 150 cattle a day and one of the most modern meat factories in Central and East Africa) he said exporting live animals denied the nation of huge desired foreign earnings.

  This is in addition to what he called ``exporting employment opportunities`` which would have been awarded to Tanzanians if the animals were slaughtered in Tanzania in order to promote the meat industry in the country.

  Annual meat production over a ten year period(1995-2005) increased from 244,000 tons to 378,000 tons most from the traditional sector.

  However between 2005/2006 and 2006/2007 production of meat declined by 9.3 per cent from 388,294 tons to 370,566 tons due to outbreak of Rift Valley Fever.

  In his ministry\'s report over the past three years the Minister for Livestock Development and Fisheries John Magufuli said meat production during the period under review rose to 410,706 tonnes from 378,509.

  SOURCE: Guardian
   
 18. K

  Kleptomaniacs Member

  #18
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maana yake nini? tukijipanga vizuri tuna fursa za kufaidi vizuri katika soko la dunia kuliko hali ilivyo sasa hawa Waarabu wanahitaji vitu vingi kutoka kwetu, wanahitaji mazao ya chakula na pia mazao yatokanayo na ufugaji! sishangai sana pale ambapo hawa viongozi wetu hawajali sana sekta hii!unategemea nini kutoka kwa son of peasant kama alivyojinadi PM wakati anakamata kiti! Mkwere ndio basi tena hao ngo'mbe kawafahamu wakati yupo shuleni! yaani darasani ndio kafundishwa this is a cow! wapi na wapi bwana weye! acheni porojo zenu zisizo na kichwa wala miguu! Kilosa ina eneo kubwa tu ambalo limekaliwa na wakubwa hawataki kuachia ama kufuta hati hizo takribani ekari 90000 waulize mkakati wao! wanasubiria eti Waarabu ndio wakalime! Viongozi karbia wote wa ngazi za juu wana mashamba makubwa tu mkoani Morogoro katika mazingira hayo watarajia nini?
   
 19. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Jokakuu:

  Jokakuu:

  Mimi na vishamba Morogoro. Wafugaji wanatuletea umasikini kule. Uwe na shamba na baadaye uweke walinzi hili wafugaji wasilishe mifugo yao hiyo ni primitive nonsense.

  Vilevile ukumbuke kuna wakulima wa kujikimu wenye heka mbili tatu. Hawa nao walime na baadaye walinde mashmba yao.

  Kama serikali iliketa umasikini kwa wafugaji, je ni wajibu kwa wafugaji kuleta umasikini kwa wakulima???

  Edward Lowasa amenunua Ranch ya Mkata kule Morogoro, na kitu cha kwanza alichofanya ni kuweka uzio. Na baada ya hapo alikwenda mahakama kupata sheria ya kuwafukuza waMasai waliokuwa ndani ya Ranch.

  Umefika wakati wafugaji nao wa-Embrace mabadiliko ya kijamii.
   
 20. F

  Felister JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana sheria zetu zinasema ngo'mbe akiingia shambani ni tresspassing ila iko silent kama mkulima ata extend shamba lake kwenye eneo la wafugaji. Jiulize kwenye decision making bodies kunawafugaji wangapi ili waweze kuforward malalamiko yao au angalau interest zao ziwe protected when the laws/by laws are enacted. Matokeo yake nikuwa kila siku mfugaji ndo anae vamia na si mkulima kwasababu mahindi na maharage yako permanent while ng'ombe lazima wachungwe kwa pamoja na mwishowe warudishwe nyumbani. so common property mode of ownership is not legitimate but that of private mode of ownership is legitimate na wakulima wakifanyiwa fujo wana taka public sympathy ila hawa wanao baguliwa wakiomba public sympathy wanaambiwa washamba. Kama ni ushamba wote tu washamba kama sivyo why hand hoe to this age of mechanisation? Ukiuliza utaambiwa hatuna capital ila kwa wafugaji wao watajiju. Jamani tuwe fair kwa watu wetu tuwe na huruma na tujitoe kuwasaidia wote ni wagonjwa na kwa ugonjwa wao sisi pia ni victim either absolutly or relatively. Sipendi kuingia kwenye siasa ila kwaajili ya wafugaji saa nyingine nashindwa kujizuia.
   
Loading...