Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

Ulikuwepo wanavyolipwa?
Hebu we cheki kwenye mfuko wa kaptura la huyu jamaa kashindilia nini? Unafikiri hilo bunda kalitoa wapi kama si hongo??

20220214_135908.jpg
 
Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa.

Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria.

===
Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wabunge kuelimishwa kuhusu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Jamii ya wafugaji wanaoishi kwenye bonde hilo wamesema wataendelea kuishi kwa kufuata sheria na kanuni za uanzishwaji wa mamlaka hiyo na si vinginevyo.

Source: Star tv!

View attachment 2115445
isije kuwa ngorongoro nayo kama gesi!
 
Kwa Ile level ambapo suala lao limefika kujadiliwa bungeni, pamoja nasapoti waondoke pia nasema wasitegemee Kuna mbunge wa CCM atawatetea.

Yani watalalamika tu Ila when it comes to implementation ya maamuzi wabunge wa CCM huwa wamoja na kumbuka hili ni bunge la chama kimoja.

Wamasai wanaupoteza muda wajadili fidia yao maana wataondolewa na hakina wa kuwatetea bungeni, at least kungekuwa na mawazo mbadala Ila kwa CCM wahesabu wameumia wakae na kujadili fidia ya ardhi wanakohamia waangalie kukoje in terms of huduma za kijamii Ila sio hii kukaa kubisha unreasonably.
Sio LAZIMA watete bungeni jua Hilo
 
Nawasapoti Wamasai, ila wapunguze Mifugo yao.
Sijui nicheke au vipi. Yaani waondolewe kwa "ulinzi wa wanyama" ili wanyama wasidhurike halafu tena wapunguze wanyama wao?
Mifugo ni wanyama.
Wauze hao wanyama wa serengeti badala ya kuwaondoa Wamaasai.
Wanyama hao wapewe refugee status wahamishiwe Dubai.
 
Back
Top Bottom