LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,312
- 6,638
eti huwa nasikia masai huwa wanang`oana meno makusudi kwa sababu kuu mbili,kwanza ni kama urembo na ujasiri wa kung`olewa jino bila ganzi,na pili huwasaidia pindi akiwa mahututi hawezi kula,kwahiyo kwenye lile pengo ndio mfereji mubashara wa kupitisha uji,wewe unayeelewa chochote juu ya hili jazia na mawili matatu huku tukiisubiri hii sikukuu isiyotabirika...