donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Check this video:
Last edited by a moderator:
Mkuu sijui wanajiamn nini?
wana roho ngumu sana Mr Rockydonlucchese hawa jamaaa ni balaa kabisa
Sijui wanajiamini nini aise
inawezekanaHawa bwana wamegawanyika robo tatu binadam iliyo baki wanyama
there's no room for error maana wakimbwela kidogo imekula kwaoVery skillful tactics, wanajua jinsi ya kuwasoma simba
!
!
hawana ujasiri wowote hao jamaa....kama ni hivyo mpiga picha jasiri zaidi maana alikuwa na kamera tu wakati hao jamaa wana mikuki halafu wako mtu mob
hahaha wangekiona cha mtema kuni. wale samaki walikua watamu eeeh?Hahahahahaha mie nlikua najiuliza kwa mfano hao simba wangewatimua mbio ingekuaje? Sijui wangeruka lol
hahaha wangekiona cha mtema kuni. wale samaki walikua watamu eeeh?
Hahahahahaha sana...umerowesha t shirt kwa udenda lol...
kuna watu wana roho ngumu aisee
Duh .... kiboko....