KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,058
Uongo mtupu!
Hali wala siyo mbaya kama mnavyodanganywa.
Msitake kufanya vifo vya watu wawili na polisi watano kuwa ndo gharika kwenye nchi yenye majimbo 50 na idadi ya watu zaidi ya milioni 300.
Acheni masikhara na acheni kudanganyika kama majuhha msio na ubongo!
Kwa hiyo unataka halalisha kutendewa vibaya wanawake wa ndani kule DubaiHali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
Kama Marekani hali ni nzuri hawa wamarekani wanafanyeje hapa angalia hii video clip.Acha kutia chumvi wewe.
Sasa mkuu anayedanya ni nani...ni wewe au huyo aliyehojiwa.....!!!??
Wewe umezaliwa lini? Hamna mtu ambaye kafananisha mauaji.Kiilichotokea America sio cha kufanananisha na kinachoendelea middle East
Muarabu haeshimu tena uhai wowote uwe uhai binafsi au mtu mwingine
Kwa baadhi ya nchi za kiarabu kuuwawa watu 200 kwa Siku moja sio ishu ya kushangaza kwa sasa
Hata media hazishtuki.
Kama Marekani hali ni nzuri hawa wamarekani wanafanyeje hapa angalia hii video clip.
1) Naona unatoka nje ya mada.Kiilichotokea America sio cha kufanananisha na kinachoendelea middle East
Muarabu haeshimu tena uhai wowote uwe uhai binafsi au mtu mwingine
Kwa baadhi ya nchi za kiarabu kuuwawa watu 200 kwa Siku moja sio ishu ya kushangaza kwa sasa
Hata media hazishtuki.
Watu wanauliwa na bado unasema habari sio mbaya? Ama kweli akili ni mali.
Siyo Marekani tu ambalo ni taifa la mkusanyiko wa watu wa rangi na asili tofauti mbona hata Tanzania tupo hivyo mkuu Marekani unaenda mbali, angalia timu ya taifa ya Ufaransa utadhani timu ya Senegal.Mkuu matamshi kama haya yatachochea ubaguzi zaidi Marekani ni Taifa la mkusanyiko wa watu wa rangi na asili tafauti.
Hahaha, unaona sasa kumbe hata Historia haujui.Hahahaaaa hivi nyie kwenye hizo madrasa na masjid huwa mnajifunza nini?
Civil war imeshatokea mara nyingi sana Marekani?
Nyie ni wa kuwaacha tu kama mlivyo.
Wewe hata akiuliwa mtoto wako utasema hali sio mbaya.Huyo aliyehojiwa!
Nakataa kuwa hali ni mbaya kwenye majimbo yote 50 na kwa watu zaidi ya milioni 300.
Matukio mawili hayawezi kabisa kufanya hali iwe mbaya na ukweli wa mambo ni kwamba hali siyo mbaya hata kidogo.
Sipingi mkuu1) Naona unatoka nje ya mada.
2) Middle war imeanzishwa na USA (Ukipinga utakuwa unajidanganya mwenyewe).
Ndio nimeshaona tena nazo picha zao.Vi clip vya YouTube havithibitishi chochote.
Kwanza hali ni nzuri kiasi cha watu kuweza kutimiza haki zao za kikatiba na kuandamana na kutoa madukuduku yao.
Hali ingekuwa mbaya unadhani nani angeweza hata kuandamana?
Ushaona watu wakiandamana Syria au Kabul huko?
Hali siyo mbaya hivi daah!! Siku ikiwa mbaya itakuaje sijui.Watu wanauliwa na bado unasema habari sio mbaya? Ama kweli akili ni mali.
Huyo aliyehojiwa!
Nakataa kuwa hali ni mbaya kwenye majimbo yote 50 na kwa watu zaidi ya milioni 300.
Matukio mawili hayawezi kabisa kufanya hali iwe mbaya na ukweli wa mambo ni kwamba hali siyo mbaya hata kidogo.