Wamarekani wanatembea na silaha

Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.

Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.

Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.

Kulikoni?
 
Hamna kitu kibao kama kuwa mtumwa wa kiakili bwana ako hata akimpiga mama yako makosa yanakuwa kwa mama kuwa mchokozi.
 
FaizaFoxy &Co. Ltd
 
Ni tabia ya kawaida sana ya wanafiki, kuona ubaguzi wa mwingine, kumbe nae ni mbaguzi. sawa na mtu anesema anadai demokrasia, alafu huyo huyo anawatangazia wafuasi wake wasishirikiane huduma za jamii na wasio wafuasi wake.
 
Hizo silaha watageukiana wenyewe kwa wenyewe maniaa zao.

Leo hii ndiyo wanamkumbuka Sadam Hussein baada ya kuichafua dunia.

Kila siku tunaambiwa US kuna amani sana amani gani sasa hiyo.
Hakuna amani in USA tokea zamani, kila mara watu wanauwana mitaani, pia wanawake wanaku raped daily.
 
Nani anashabikia mauaji??
Bro hawa jamaa kama huyu ndiyo wale tuliokuwa tunawazungumzia wanafiki sana watumwa wa kiakili.

Hataki watu wajadili hili lakini mauaji ya Congo, Rwanda, Libya, Siyria, Palestina, yakijadiliwa kwake hamna tatizo lakini Marekani povu linamtoka ovyo.

Punguani sana hawa jamaa.
 
Tabia yoyote ya mwanadamu kumuonea mwanadamu mwenzake inapaswa kukemewa.
Muisrael kumuua mparestina, Mmarekani kuwafitinisha waarabu, mmarekani mweusi kummua mzungu, au mzungu kumuua mmarekani. Kitendo chochote cha raia wa dunia hii kumuua mwenzake bila kujali dini wala rangi sio cha kukumbatiwa wala kufurahia,
Inapaswa tuwaombee US amani kama wengine wote wanavyotakiwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…