Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 5,554
- 11,279
Biden hafui dafu kwa Trump hata afanyeje!2024 Marekani hakuna wanayemtaka kati ya Biden na Trump.
Ila ikatokea wamebaki hao wawili kwenye ushindani basi kura nyingi zitaenda kwa Biden
1. Hawataweza kumfunga!Wamarekani wanaogopa ujamaa kama ukoma. Wakisikia Sanders wanajua anakuja kuleta mambo ya kijamaa.
Sanders hashindi hata kwa kutumia uchawi
Trump anarudi White House labda wamfunge kwenye makesi yake anayopambana nayo
"Donald Hitler" aruhusiwe kutawala Marekani? ThubutuAlichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.
Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa lake la Marekani.
Mwaka huu Wamarekani watapiga kura ya kumchagua Rais.
Bila shaka, wengi wanajua kuwa wanamuhitaji sana Trump kuliko wakati mwingine wowote.
Uthubutu wake utawezesha vita vya Urusi na Ukraine kufikia ukomo. Anaweza kusaidia kuleta amani Mashariki ya Kati, japo itakuwa ni kwa muda tu.
Atamdhibiti Rais wa Korea Kaskazini asiwe tishio kwa Marekani na maslahi ya Marekani.
Japo si nabii, lakini naamini Trump atashinda Kiti cha Urais wa Marekani mwaka huu
Hata Wamarekani waliomo humu JF, japo ni wachache, lakini wanalijua hilo.
Hawatafanya kosa. Wameamua kwenda na bilionea Donald Trump.
Mkuu, Trump kakukosea nini?"Donald Hitler" aruhusiwe kutawala Marekani? Thubutu
Tabia zinafananaMkuu, Trump kakukosea nini?
Unamfananisha na Hitler, kweli?
Unamwonea mkuu!Tabia zinafanana
Hata hitler alikuwa mwema sana kabla haja-assume full power. Tena hotuba zake nyingi alimaliza kwa jina la Baba, na la Mwana na Roho Mtakatifu...Amen.Unamwonea mkuu!
Trump ni "mkorofi" lakini si mkatili. Alau ana utu!
🥺🥺🥺Hata hitler alikuwa mwema sana kabla haja-assume full power. Tena hotuba zake nyingi alimaliza kwa jina la Baba, na la Mwana na Roho Mtakatifu...Amen.
Watu wa namna hii ni hatari sana kuwapa Madaraka makubwa, kama Magu tu au Bashite
Ndo hapo sasaMbona unacomment mwenywe sasa…si usubiri tucomment then ujibu mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣Ndo hapo sasa
Katuni?Mbona hilo lipo wazi hata wale katuni maarafu walishatabiri tayari nenda kaangalie YouTube.
Duh, huu ni uongo ama uzwazwa?Fikiria tu kwa udogo
Voters wanathubutuje kumpigia kura mgombea mwenye shutuma za kesi zaidi ya 90 ambazo zote amekutwa guilty?