Hao Republican sio wamarekani?Hao ni MAGA Republicans
Hao Republican sio wamarekani?
Hakuna mtu mwenye akili tumamu atawaunga mkono Ukraine, nakuoa sababu kubwa kwaniniKupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani kusimama na Ukraine (Tafsiri isiyo rasmi)
View attachment 2529215
Hata Hivyo, maoni ya Wananchi wa Marekani hayakubaliani na msimamo wa Ikulu ya Marekani; Maoni yalioongoza yakiwa na ujumbe usemao, Serikali iache kupoteza fedha za walipa kodi na hicho inachofanywa itasababisha Vita ya Tatu ya Dunia.
Maoni mengine yalisema tumechoka na utawala huu kutuma fedha zetu tulizozipata kwa shida kwenda Ukraine; Jenga Marekani kwanza (Akimaanisha sera ya Raisi aliopita Trump, yakuijenga America kwanza).
Mwingine akilalamika Rais kushindwa kutembelea Ohio kufuatia Janga la kumwagika kwa kemikali ambalo limesababisha Raia zaidi ya 5000 kuhamishwa na vifo vya wanyama zaidi ya 3000.
View attachment 2529217
Ikumbukwe uvaamizi wa Urusi nchini Ukraine unatimiza mwaka mmoja sasa na Marekani imekuwa ikiongoza mapambano ya kuipinga Urusi ikiwemo kuiwekea vikwazo mbalimbali vya kiuchumi vikwazo ambavyo sio tu vimeyumbisha uchumi wa Urusi bali Dunia nzima kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta na nafaka ambavyo asilimia kubwa vilikua vinatoka Urusi na Ukraine.
Ni yapi Maoni yako ?
PUTIN ALISEMA URUSI IKITOLEWA USHIRIKI WA KOMBE LA DUNIA BASI HALIFANYIKA, MATOKEO YAKE LIMEFANYIKA NA AMEKAA KIMYAAA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ANGEJARIBU AONE MOTO
Hakuna mtu mwenye akili tumamu atawaunga mkono Ukraine, nakuoa sababu kubwa kwanini
1.) Japo Ukraine anasema anao uhuru (Sovereignity) wa kujiunga na NATO , atambue kwamba uhuru wa nchi moja unaishia oale usalama wa nchi nyingine unapoanzia. Kitendo cha Ukraine kujiunga na NATO kitaipa US haki ya kwenda kufunga silaha za nyuklia nchini Ukraine ambayo ni uani kabisa na Russia, sasa Russia hawezi kukubali US aweke silaza za nyuklia uani kwake, kwamba likitokea la kutokea US anafikisha mabomu yake Russia ndani ya sekunde tu, wakati yeye Russia hadi yafike US sio leo.., means US atakuwa na upoer hand, sasa nikuhakikishie.., kabla Russia hajakubali hilo kutokea, hii dunianitakuwa imeshasambaratishwa na haipo tena kwenye solar system.

Muingiliano uliopo kati ya Ukraine na Urusi ni mkubwa sana, hata lugha zinaingiliana kiasi chake, hata undugu, waRusi wengi wana ndugu wa damu Ukraine, hivyo Ukraine na kama Urusi ndogo, kujiunga na NATO kunahatarisha usalama wa uRusi tofauti na Finland yenye mchangamano mdogo na uRusiVipi kuhusu Finland kujiunga na NATO?
Trump atarudi kiulaini sanaHuyu jamaa akishindana na trump uchaguzi unaofuata hatoshinda, labda waweke mwingine
MBURURA TULIAStupid [emoji90]
Hao wanapitwa Wananchi ni wajinga tuu wanakoishi Marekani kama kopo hawajui maana ya Marekani na sera yake ndio maana wanapuuzwa.Kupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani kusimama na Ukraine (Tafsiri isiyo rasmi)
View attachment 2529215
Hata Hivyo, maoni ya Wananchi wa Marekani hayakubaliani na msimamo wa Ikulu ya Marekani; Maoni yalioongoza yakiwa na ujumbe usemao, Serikali iache kupoteza fedha za walipa kodi na hicho inachofanywa itasababisha Vita ya Tatu ya Dunia.
Maoni mengine yalisema tumechoka na utawala huu kutuma fedha zetu tulizozipata kwa shida kwenda Ukraine; Jenga Marekani kwanza (Akimaanisha sera ya Raisi aliopita Trump, yakuijenga America kwanza).
Mwingine akilalamika Rais kushindwa kutembelea Ohio kufuatia Janga la kumwagika kwa kemikali ambalo limesababisha Raia zaidi ya 5000 kuhamishwa na vifo vya wanyama zaidi ya 3000.
View attachment 2529217
Ikumbukwe uvaamizi wa Urusi nchini Ukraine unatimiza mwaka mmoja sasa na Marekani imekuwa ikiongoza mapambano ya kuipinga Urusi ikiwemo kuiwekea vikwazo mbalimbali vya kiuchumi vikwazo ambavyo sio tu vimeyumbisha uchumi wa Urusi bali Dunia nzima kutokana na kupanda kwa gharama za nishati na nafaka ambavyo asilimia kubwa vilikua vinatoka Urusi na Ukraine.
Ni yapi Maoni yako ?