Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Hiki kama siyo KINGONI sijui... ahahahajaNunu gari lako
Hiki kama siyo KINGONI sijui... ahahahajaNunu gari lako
Next time kodi kirikuu pekeako hautakereka.
Asante sana kaka.Na ww mama yako alitukela sana ulipokuwa mdogo kwahyo vumilia kama ss baba zako tulivokuvumilia ww na mama yako enzi ukiwa mtoto huelewi lolote pia na ww watoto zako watakuja kukela watu kama unavoona unakeleka mwanangu!
....Jesus Christ,was born on Christmas day!!Jitambue.....
Kama anajua mtoto anasumbuliwa na kifua kwanini akae dirishani?Kiwango cha chini sana cha kufikiri, ungejua mziki wa mtoto anayesumuliwa na kifua usingemlaumu huyo mama.
Kwahiyo unataka mtoto asimame we ukae hata kama umechelewa siti[emoji53] aseee...still unalazimisha kumpakata[emoji23] [emoji126] [emoji126]Hii nchi tunaishi kwa ajiri ya umaskini wetu, ingekuwa sio hivyo hata tungeishi abroad, mambo kama hayo ya kugombaniana kufungua na kufunga dirisha yasingekuwepo
*Then utakuta kitoto kimekaa na mam yake kwenye siti then watu wazima wamesimama, ukitaka umpakate huyo mtoto ndo utagundua kuwa naongelea usafiri wa mbagala na abiria wake, yani mmama anatokwa povu kama nn...!!!!
Mtoto ni wake, hanihusu! Asilete za kuleta as if it is commuters' obligation to observe the safety of the kid. Huo ni wajibu wake, sisi ni msaada tu! Halafu wanakuwa jeuri kama vile sisi ndio tuliwapa mimba!Wamama wenye watoto wanakera sana. Wanagombania daladala na kuwahi dirishan. Cha ajabu dirisha wanafunga, ukimwambia fungua anakuambia upepo utamuathiri mtoto. Kwann ukae dirishan wakati una mtoto? Kila abiria ana maradhi yake, upepo muhimu.
Mnakera sana.
Nakupuuza.Kama anajua mtoto anasumbuliwa na kifua kwanini akae dirishani?
Mkuu labda kama ni nje ya Dar ndo ulaumu.Sehemu kama Dar tena root ubungo Mbagala au ubungo Gombs naye yupo kituo cha mwananchi ni SAA ngapi atakuta daladala tupu kama sio SAA sita usiku tu?Halafu wanaingiaga kwenye daladala huku akiona kabisa imejaa akitegemea msamaria mwema amuachie seat
Hiyo title ianzishie thread utapata wachangiaji wengi sana nikiwemo mimi hahahahahaWanaojamba ndani ya gari ushuzi wa kimyakimya hunikera sana
hahahaha jfNext time kodi kirikuu pekeako hautakereka.