Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,174
NAJENGA TAIFA MKUU NILIMALIZA MHIMBILI MIAKA 3 iliyo pita
Muhimbili shule ya msingi. HataSekondari za kata hukupata nafasi? pole!!!
NAJENGA TAIFA MKUU NILIMALIZA MHIMBILI MIAKA 3 iliyo pita
kama unasoma UDSM basi..
hiki chuo hamna kitu tenaaa..
Acheni hizo kwani UDSM wanaofika ni wanachuo tu? amesema alikuwa anatokea UDSM wakawa wamekaa karibu sasa hapo shida nini
Muhimbili shule ya msingi. HataSekondari za kata hukupata nafasi? pole!!!
wewe MWINGINE tena mhimbili university Unadhan Shule ya MSINGI .SIKULAUM SIKU ILE UMEKUJA NA MKONOSWETA PALE TUKAKUREKEBISHA LEO UMEKAA JF NA KONI TAKO UNAPIGA MAYOWE KUSHABIKIA UJINGA. NGOJA URUDI KWA GONJWA LA KULA TIGO HATUKUZIBUI DOGO
Daktari mzima unatukana wagonjwa wako? Hujala kiapo? #flashback