Wamama watu wazima mtatumaliza

Wamama watu wazima mtatumaliza

ndio maana unapotoa post unatakiwa ujipange vizuri ili watu wakuelewe vizuri mkuu wepson
jamaa hawaulizi ila wanakomaa uongo jamaa mmoja mbona kani pm nimemueleza ishu yenyewe sasa hawa vipofu wanabisha nn siwapite tuu wanaotaka kusema cha maana wataongea si lazima wao mkuu
 
kuna jamaa maeneo fulani kwenye gari kavaa mgorole kama wako huo alitaka kuniibia sim leo teh teh dahldahl

afuu una muandiko mchafu kama wa serengeti boy mmoja hivi

nahisi ni wewe
 
afuu una muandiko mchafu kama wa serengeti boy mmoja hivi

nahisi ni wewe

daa HIVI SIKU HIZI MASAI MNAJUA KUANDIKA NA KUSOMA AU NDO KUJIPAKA MACREAM YA MAZIWA MNANUKA KAMA MABEBERU
 
ndio maana unapotoa post unatakiwa ujipange vizuri ili watu wakuelewe vizuri mkuu wepson
MKUU MANKACHARA JF KUNA WATU NI WAPOKAJI SANA .ANAWEZA ONGEA ANACHOTAKA NA KUTAKA WATU WAMUONE WA MAANA PILI KUNA WATU WANAJIFANYA WAMELIZOEA SANA JUKWAA KIASI KWAMBA WANADHANINMAWAZO YAO NI YA MSINGI SANA NA NIKAULI ZA MWISHO WANASAHAU KUNA WATU WANALETA THREAD KAMA NAOMBA MWENYE VIDIO YA NG.ONO, NAOMBA DEM ANAYETAKA KUTOKA NA MM MWAKA MPYA ANI PM, MTU ASASEMA NAIMBA KWAYA NA DEM MMOJA TUKIWA TUNAFUNDISHANA KWAYA GENYE ZINAPANDA WATU NDO WANAFURAHI NA NYUZI KAMA HIZO. HATUWEZI KUJENGANA HIVYO, SASA WAMEACHA POINT YA MSINGI WANASEMA MWANDIKO MBAYA KWANI MI NAANDIKA BARUA KWA PENI AU NYUZI HIZI TUNAZIANDIKA KWA PENI? Tubadilike
 
Wepson,shida iko hapa,Kwann unachanganya miandiko hovyo??kwann usiandike kwa utaratibu tuuu mzuri??ina maana hujui hata kuandika??una mantiki nzuri ila sasa namna ya kuiwasilisha ni majanga kwakweli
 
naona unatafuta umaarufu ngoja nikuache ulelewe
UNABISHA USICHOJUA NENDA KWENYE LINDO BWANA UNAJIFANYA KUNIACHA WAPI? Wamasai kuna kazi GANI MNAWEZA ZAIDIMYA YA KUCHAPA VIRUNGU NA KUSIMAMA USIKU KUCHA NA MISHARE KWENYE MAGETI HAPA MJINI HAHAHAAA POLENI NA VIHARUFU VYA MBUZI DUME
 
wepson,shida iko hapa,kwann unachanganya miandiko hovyo??kwann usiandike kwa utaratibu tuuu mzuri??ina maana hujui hata kuandika??una mantiki nzuri ila sasa namna ya kuiwasilisha ni majanga kwakweli

kwa kweli mniwie radhi nafanya setting ya hii ipad apple2 kiswahili ni shida labda niandike kwa kingereza ndo inakua poa
i,m sorry for that
 
WE HONEY FAITH NA MWENZIO KIZAIZAI SIJUI NDO MICHEZO YENU? MAANA HUWEZI PINGA KITU AMBACHO HUKUWEPO ,NA ULICHOAMBIA NI USHAURI KAMA HUNAN HUSHAURI PITA TU NENDA.ZAKO HAKUNA ATAKAYE KUULIZA MBONA HUJASEMA MBONA KUNA WATU WAMETOA USHAURI MZURI TU AU KWA KUA NAWEWE NI MZEE WA MIAKA YA 70 NA BADO UN FANYANJE HIVYO UNAONA SAWA MMAMA WW? Kama kimya tafadhari TUNAONGELEA SERIUOS MATTER HAPA SI JAMBO LAKUANZA OO STORY YA KUTUNGA MI SIO MUIGIZAJI NI PHARMACIST BY PROFFESSIONAL LOO!!

Yani kwa huo uandishi nilijiua upo form one kumbe ni "PHARMACIST BY PROFFESSIONAL"?Hahahaha haya kijana acha nikuache ngoja nideal na wazee wangu maana wewe mvulana sio type yangu
 
Kwa vile unataka mpenzi wa kuzugia mbele ya hilo jimama, mchukue hata dadako (kama analipa) uende nae ukazugie. Unaona eeh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom