Wamama watu wazima mtatumaliza

Wamama watu wazima mtatumaliza

Kwa nini wababa watu wazima huwataka mabinti rika la watoto wao? ukielewa hapo hutasumbuka kuuliza.
 
HABARI YA MCHANA WANA MMU JAMANI MWENZENU YAMENIKUTA MWEZI WA NANE MWAKA HUU.NILIKUA KWENYE DALADALA KUTOKEA CHUO UDSM TO SCIENCE .NILIKAA SITI YA NYUMA KABISA SASA PALE NILIKAA NA MAMA MMOJA AMBAE NI WA MAKAMO MMAMA WA MJINI ANAONGEA SANA TULIPOFIKA MAENEO YA SCIENCE KIJITONYAMA NIKASHUKU NA YULE MAMA GAFLA AKASHUKA MI NIKAWA NAELEKEA OFISINI MAMA YULE AKANIITA KAMA NIMEPOTEZA KIYU VILE KWA KWELI NILISIMAMA KWA SABABU MOJA TULIKAA WOTE KWENYE GARI NA MBILI TULIKUA TUMEPIGA STORI ZA KAWAIDA ON THE WAY.BASI MAMA AKANIULIZA KIJANA UNAFANYIA WAPI NIKAMWELEZA AKANIPA NAMBA YAKE ETI KUNA TUNA NIULIZA HAPO OFISINI NILIPO, NIKA PIGA KTK SIM YAKE PALE IKAWA NDO KUPEANA NAMBA.BAADAE MAMA ALIANZA KUNITUMIA SMS ZA KUJIFANYA ANANISIFIFI ETI KIJANA MTULIVU WAKATI TULIONANA MARA MOJA TUU.BAADAE AKAWA ANATUMA SMS ZA MAPENZI KWA KWELI MAMA HUYU NI MSUMBUFU SANA SASA NIMEMBLACKLIST ILA SMS ZINAINGIA TU .KANIALIKA KWENYE MAMBO YAKE MENGI TU NIMESINGIZIA ILA SASA NATAKA NITAFUTE RAFIKI WA KIKE AWE KAMA MPENZI WANGU AKINIITA NIENDE NAE NI WEZE KUMWELEZA KUA HUYO NI MPENZI WANGU NA SIHITAJI MAHUSIANO NA YEYE HUYO MMAMA
SASA KILICHO NILETA HAPA WANA JAMVI NI KUTAKA FAHAM KUNA KITU GANI KILICHO NDANI YA MIOYO YA WAMAMA WATU WAZIMA KUWAPENDA KIMAPENZI VIJANA WADOGO WATAALAM WA PSYCHOLOGY MNISAIDIE
ASANTENI WASILISHA HOJA .NA NDO MAANA KUNA SEHEM NIMEWEKA UZI WA KUTAFUTA RAFIKI WA KIKE INAKWENDA KWA JINA HILI Opportunity only ladies .MAMA HUYU NI WA MJINI SO ANAHITAJIKA MTU AMBAE HATA MAMA AKIMUONA ANYWEE

Nao pia wana moyo wa kupenda coz hata wababa wanapenda mabinti rika la watoto wao.
 
Ni kweli kabisa wapo na wababa

sasa kinachokushangaza ni nini mpaka unaliza hilo swali? Kama humtaki kausha ila inaonekana unamtaka maana usingeendelea kuwasiliana nae.
 
Kwa nini wababa watu wazima huwataka mabinti rika la watoto wao? ukielewa hapo hutasumbuka kuuliza.

Kwanza damu bado inachemka, pili nani kakwambia wababa uwa wanazeeka, fanya tathmini kwa wamama na wababa ambao umri umeenda nan anao uwezo wa kuzaa bla shaka ni wababa so waache wakajilie viserengeti girls
 
hali imebadilika siku hizi sio kama 1994 tena, wababa wanazeeka wanaacha wamama. Kuzaa sio ishu kwanza inatakiwa uwe umeshamaliza kuzaa ufikapo 35 years old. Huo uwezo wao wa kuzaa si anazaa na binti mdogo kwani anazaa na mzee mwenzake? usikute hela yake ndo inadanganywa kuwa amezaa kumbe motto sio wake.
 
sasa kinachokushangaza ni nini mpaka unaliza hilo swali? Kama humtaki kausha ila inaonekana unamtaka maana usingeendelea kuwasiliana nae.

Kuwasiliana maana yake nini?kuna sehem imeonyesha huwa na mpigia?? Ningeomba ufafanuzi wa tabia za watu wazima kuwataka kimapenzi vijana wadogo?? Rejea vizuri uzi wangu usikurupuke
 
Sai%21%20Sugar%20mummy%20tinz%20%EE%9D%97%20%20.jpg

Nimeipenda bonge la mbibi anatuulia kijana wetu wa jf kamuokota facebook
 
mkuu mbona unapoteza muda bure muulize mbibi mwenyewe ili akwambie anataka nini kwako?
 
Kuwasiliana maana yake nini?kuna sehem imeonyesha huwa na mpigia?? Ningeomba ufafanuzi wa tabia za watu wazima kuwataka kimapenzi vijana wadogo?? Rejea vizuri uzi wangu usikurupuke

wanataka utamu, nawe naona huelewi kwani mapenzi yameandikwa ni vijana kwa vijana? mapenzi yahachagui umri ila kama hutaki is up to you wengine wanawataka na wanapendana mno.
 
Kichaa cha mapenzi/ngono kimevamia rika na jinsia zote,si watoto,vijana wala wazee, wake kwa waume!
 
ni bora umeeleze tu kuwa huna nia kwake ili asikutegemee
 
HABARI YA MCHANA WANA MMU JAMANI MWENZENU YAMENIKUTA MWEZI WA NANE MWAKA HUU.NILIKUA KWENYE DALADALA KUTOKEA CHUO UDSM TO SCIENCE .NILIKAA SITI YA NYUMA KABISA SASA PALE NILIKAA NA MAMA MMOJA AMBAE NI WA MAKAMO MMAMA WA MJINI ANAONGEA SANA TULIPOFIKA MAENEO YA SCIENCE KIJITONYAMA NIKASHUKU NA YULE MAMA GAFLA AKASHUKA MI NIKAWA NAELEKEA OFISINI MAMA YULE AKANIITA KAMA NIMEPOTEZA KIYU VILE KWA KWELI NILISIMAMA KWA SABABU MOJA TULIKAA WOTE KWENYE GARI NA MBILI TULIKUA TUMEPIGA STORI ZA KAWAIDA ON THE WAY.BASI MAMA AKANIULIZA KIJANA UNAFANYIA WAPI NIKAMWELEZA AKANIPA NAMBA YAKE ETI KUNA TUNA NIULIZA HAPO OFISINI NILIPO, NIKA PIGA KTK SIM YAKE PALE IKAWA NDO KUPEANA NAMBA.BAADAE MAMA ALIANZA KUNITUMIA SMS ZA KUJIFANYA ANANISIFIFI ETI KIJANA MTULIVU WAKATI TULIONANA MARA MOJA TUU.BAADAE AKAWA ANATUMA SMS ZA MAPENZI KWA KWELI MAMA HUYU NI MSUMBUFU SANA SASA NIMEMBLACKLIST ILA SMS ZINAINGIA TU .KANIALIKA KWENYE MAMBO YAKE MENGI TU NIMESINGIZIA ILA SASA NATAKA NITAFUTE RAFIKI WA KIKE AWE KAMA MPENZI WANGU AKINIITA NIENDE NAE NI WEZE KUMWELEZA KUA HUYO NI MPENZI WANGU NA SIHITAJI MAHUSIANO NA YEYE HUYO MMAMA
SASA KILICHO NILETA HAPA WANA JAMVI NI KUTAKA FAHAM KUNA KITU GANI KILICHO NDANI YA MIOYO YA WAMAMA WATU WAZIMA KUWAPENDA KIMAPENZI VIJANA WADOGO WATAALAM WA PSYCHOLOGY MNISAIDIE
ASANTENI WASILISHA HOJA .NA NDO MAANA KUNA SEHEM NIMEWEKA UZI WA KUTAFUTA RAFIKI WA KIKE INAKWENDA KWA JINA HILI Opportunity only ladies .MAMA HUYU NI WA MJINI SO ANAHITAJIKA MTU AMBAE HATA MAMA AKIMUONA ANYWEE

Ukisoma Why Men Don,t Listen & Women Can't Read Maps by Allan and Barbara Pease utaelewa sana.
Ningependa kupandisha hicho kitabu, nasikitika siwezi.
 
hali imebadilika siku hizi sio kama 1994 tena, wababa wanazeeka wanaacha wamama. Kuzaa sio ishu kwanza inatakiwa uwe umeshamaliza kuzaa ufikapo 35 years old. Huo uwezo wao wa kuzaa si anazaa na binti mdogo kwani anazaa na mzee mwenzake? usikute hela yake ndo inadanganywa kuwa amezaa kumbe motto sio wake.

45 - 48yrs according to stats kwa kina mama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom