Wamama watu wazima mtatumaliza

haha haas da badilisha avator hiyo inakuharibu

haya mkubwa!!
Nisibishane sana na wewe na mimi nikaonekana
zuzu.
Endelea kutafuta warembo, na kwa style hii utapata wa type yako.

Ni muhimbili au mhimbili?

ubishi wako kama wa watoto wa mtani unakagua herufi hahahaaa,yani watu vitu huwa mnasoma juu juu nimesema nilikua kwenye daladala ya ubungo chuo makumbusho bado una sema kama unasoma udsm ni shida sasa udsm kuna kozi ya pharmacy hujioni kama kichwa chako majanga mkuu hahahaaaa dahl pole mkuu unastahili hapo ulipo
 

we mshikaji vipi?
 
Hahaaa ile basata walintumiq e,ail email via if nieiweke aka niwiweke aka nisiweke
 
nimemweleza nilikua napita lakini ananiuliza nilikwenda kufanya nini daa jf kuna watu viaz kweli
Viazi vinaliwa nivilaza juelewa wjidaa aka whida aka shidaaa
 
mhimbili ndiyo chuo gani?

Miaka mitatu unafanya kazi halafu unatafuta mchumba online?
What wrong with you?
Domo zege!!
Huna hela!!
Au nini shida jamaa..

ila n
mkuu nakuhurumia sana, maana ktk maisha yako unadhani mtu mwenye pesa nikuchagua wanawake kama nanya sokoni .mimi nimetafuta marafiki tu lakini huku ukijijua kwa akili zako kuwait wewe ni wakiume umefungua thread inayowahusu wanawake huoni kama unakatatizo fulani mkuu
 
Wewe ni duwanzi.. Kwa uandishi huu eti pharmacist... Acha mboyoyo mzee kutunga story nako kipaji.. Sasa kama sio uongo hapo UDSM inahusikaje? Kuandika kwenyewe kwa herufi kubwa.. Acha ubwege mkuu..karibu lakini MMU
Hahaaaa MTU KAMA Mg JF tumekukata MKIA WENYEWE ILA LEO BADO HUWEZI SOMA THREAD UKAIELEWA UKACHANGIA NENDA FACEBOOK SAIZ YAKO
 
Hahaaa ile basata walintumiq e,ail email via if nieiweke aka niwiweke aka nisiweke
kisome vizuri ULICHOANDIKA NA UNGEKUA MCHANGIAJI UNGEELEWA NINI,KUSEMA HUWEZI HATA KUANDIKA KWAKO NI SHIDA
 

Mkuu nyamaza tu..
Ukiwa muongo usiwe mwepesi kusahau..

Nikimwita Tyta hapa atakuaibisha tu!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nyamaza tu..
Ukiwa muongo usiwe mwepesi kusahau..

Nikimwita Tyta hapa atakuaibisha tu!!

KWA HIYO WW ULIKURUPUKA TUU MPAKA USUBIRI AJE Tyta HAHAHAAA DAHL JF HAPAKUFAI MWITE AIPITIE VIZURI SANA THREAD YANGU THEN AONGEE, HIVI KUMBE WW NI MOJA YA WATU WANAOWEKA STORI ZA UONGO JF NAKUASA ACHA MKUU, UNAJUA KAMA WW NI MTU MAKINI UKIINGIA JUKWAA LA MMU MODERATOR AMETOA MANENO HAYA JUKWAA HILI NI LA KUTAFUTA WACHUMBA, MARAFIKI NA USIPO LITUMIA LITAFUNGWA JE WW UNAPENDA LIFUNGWE,? KWA NN MPAKA UMRI HUO WA 20s HUWEZI PITIA STORI KWA KICHWA CHAKO UKACHANGIA MPAKA USUBIRI MTU FULANI ACHAMBUE MAADA.KIWATENGU AND YOU ARE PROUD POLE
 
wewe humtaki, watu wanataka namba yake wewe hutoi kama siyo uongo ni nini? Wape namba hao wanaomhitaji ili wachukue nafasi yako
mbona ww ujaomba omba ili umchukulie kakaako yule mwenye 35 nagombana na mkewe afe vizuri
 
Hahaaaa MTU KAMA Mg JF tumekukata MKIA WENYEWE ILA LEO BADO HUWEZI SOMA THREAD UKAIELEWA UKACHANGIA NENDA FACEBOOK SAIZ YAKO

We kweli bwabwa.. Kichwa kibovu hicho... Yaan siku hizi ukitoka ubungo ukipanda daladala linalopitia chuo kwenda makumbusho basi unasema umetoka UDSM.. Basi na sisi tunaopanda daladala za G/Mboto itabidi tuseme tumetoka JKNIA... Kama hujaelewa uliza maana wewe ni Mulugo product.. Div 5
 

Mkuu unakumbuka huu uzi wako wa jana?

hiyo ilikuwa jana asubuhi


Leo ukaja na hii..
 
duuu!!!, hatari hiyo ndugu , inaonekana na wewe una ile sitaki nataka
 
acha kulia lia bana...mapenzi ni hisia. Amekueleza hisia zake. Kama wewe huna hisia kwake, mweleze kwa upole yaishe.

Ni mambo ya kawaida hayo siku hizi.

umesema na langu, mwenye kuleta uzi amekosea kuleta malalamiko utadhani kabakwa vile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…