Wamama pendeni waume zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamama pendeni waume zenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Apr 15, 2011.

  1. Saint Ivuga

    Saint Ivuga JF-Expert Member

    #1
    Apr 15, 2011
    Joined: Aug 21, 2008
    Messages: 39,284
    Likes Received: 19,436
    Trophy Points: 280
    [​IMG]
     
  2. M

    Marytina JF-Expert Member

    #2
    Apr 15, 2011
    Joined: Jan 20, 2011
    Messages: 7,037
    Likes Received: 44
    Trophy Points: 145
    ulivyoiweka hiyo titlle kama vile unawafungulia mashtaka wamama kwa kuvunja katiba ya mapenzi ibara ya pendo kwa mume
     
  3. Rose1980

    Rose1980 JF-Expert Member

    #3
    Apr 15, 2011
    Joined: May 10, 2010
    Messages: 5,701
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    unapenda pale unapopendwa naanapotoa VIAMBISHI vya kupendwa..
    1.km anahudumia familia fresh
    2.anakuheshimu mkewe na kukupa stahki kike zote
    3.si mlevi na anawai kurud hm sio habari ya kurud sa 8 usiku akiwa njwiiii
    4.ana mawazo mema na ni msaada kwa jamii

    BASI APO HUDUMA ZOTE UTAPEWA NA MKEO
    ATAKUHESHIMU NA KUKUTENGENEZA UWE BORA MBELE YA MUNGU NA MBELE YA BNADAMU


    kinyume na apo ni ...VITA NI VTTTTTAAAAAAAAAAA MURRRAH.....nigeche nikugeche...
     
  4. Likasu

    Likasu JF-Expert Member

    #4
    Apr 15, 2011
    Joined: Jan 18, 2011
    Messages: 694
    Likes Received: 94
    Trophy Points: 45
    Hapo kwenye Red naona kama ungezitaja zote tuzijue maana pengine wengine tunazijua baadhi
     
  5. The Finest

    The Finest JF-Expert Member

    #5
    Apr 15, 2011
    Joined: Jul 14, 2010
    Messages: 21,709
    Likes Received: 43
    Trophy Points: 145
    Dah!! Hii makitu imetulia sana
     
  6. Makindi N

    Makindi N JF-Expert Member

    #6
    Apr 15, 2011
    Joined: Mar 14, 2008
    Messages: 1,068
    Likes Received: 12
    Trophy Points: 135
    Watupende tu, japo madume mengi hatupendekagi!
     
  7. Rose1980

    Rose1980 JF-Expert Member

    #7
    Apr 15, 2011
    Joined: May 10, 2010
    Messages: 5,701
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    Tatizo hazipo km sala ya baba yetu...kila mke ana macharuko wake na pleva zake
    ni wajibu wako kumuuliza niweje nifanyeje ili UNIFURAHIE NA MIMI NIKUFURAHIE..
    atakuambia tu lakin kuna zile unniversal ata kwenye UNIVERSAL LOVE DECLATION OF 13000000000 ZILIZOSAINIWA PALE GENEVA zinainckude yafuatayo

    1.onyesha kumjali yeye na watoto km wapo

    2.kuwa mwaminifu

    3.mshirikishe kwenye plann zote ---usimfiche et unajenga nyumba ata mkeo umwambii

    4.act as pbm solver,mshauri.director yan mfanye akiwa na tatizo akufikirie wewe kwanza ... like mama ben kuna iki na iki vp tukuandike jna ..?utaskia ahh subiri kwanza niongee na baba ben...yaan anajua wewe ndo mtoa ushauri wake na consult wake cz anakuamini maneno yako ni ya heri kwake

    5.rudi home reasonable tyme lakin si sa 8 usiku

    6.usinywe mpka umkere mwenzako..(km si chapombe mkeo)manake kuna wengne bib chapombe bwana chapombe na bar waenda wote ayo tena ni makubaliano yao na akuna anayeboreka

    7.MZIZI pia uutoe wa kutosha sio habari kaz za nje unapiga kiwango cha juu ukija ndani unajifanya anda teka...


    ehh mengneyo subiri nikiolewa ntakuletea..cz thy r too practical..
     
  8. Saint Ivuga

    Saint Ivuga JF-Expert Member

    #8
    Apr 15, 2011
    Joined: Aug 21, 2008
    Messages: 39,284
    Likes Received: 19,436
    Trophy Points: 280
    duh! leo sista hata mimi umenipiga shule..so hii ndio limbwata yenyewe au sio? manake naskia kumbe limbwata haipo kwa waganga wa kienyeji ni mazaga zaga yako tu mwenyewe
     
  9. M

    Mkare JF-Expert Member

    #9
    Apr 15, 2011
    Joined: Dec 21, 2010
    Messages: 495
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Hiyo highlighted ha ha ha........ Eti undertaker...
     
  10. Rose1980

    Rose1980 JF-Expert Member

    #10
    Apr 15, 2011
    Joined: May 10, 2010
    Messages: 5,701
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0


    hahah hahhah ndo manake babu!!!!!
     
  11. Rose1980

    Rose1980 JF-Expert Member

    #11
    Apr 15, 2011
    Joined: May 10, 2010
    Messages: 5,701
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0


    basi ndo ...enenda kwa usalama...
    kawaeleze mataifa uliyoyaskia..
    na mani iwe kwako
    :love:
     
  12. nnunu

    nnunu JF-Expert Member

    #12
    Apr 15, 2011
    Joined: Mar 4, 2011
    Messages: 656
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 0

    ROSE, NAONA LEO UMEAMUA KUWAPA UKWELI WANAUME.............
    WAO WANASISITIZA KUPENDWA HUKU WAKISHINDWA WAO WENYEWE KUJIMULIKA NA KUJUA KNN WAKATI MWINGINE HAWAPENDWI...
    WANASAHAU KUWA RAHA YA MAPENZI NI KUPENDANA,
    na siyo kupendwa, au kupenda tu.
    MKIPENDANA basi mengine yote yanawezekana.
     
  13. Rose1980

    Rose1980 JF-Expert Member

    #13
    Apr 15, 2011
    Joined: May 10, 2010
    Messages: 5,701
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    ahh mwenzangu inabd watambue

    akuna kitu kinachozngatia kanuni ya tatu ya newton km mapenz..

    ivi 3rd law ya newton inasemaje vile.....

    reciprocal ni muhimu sana mapenzin
    kinyume na apo tegemea nguchiro na panya weng sana ktk mapenz yenu daily bfu


    mpende mkeo na yeye atakupenda haswaa ..
    ukimpotezea na yeye atakupotezea akikuhurumia atakupa nusu na si yote k ilivyostahili

    ukimchukulia poa atakuchukulia poa pia
     
  14. FirstLady1

    FirstLady1 JF-Expert Member

    #14
    Apr 15, 2011
    Joined: Jul 29, 2009
    Messages: 16,575
    Likes Received: 541
    Trophy Points: 280
    sawa baba tumekusikia Asante
     
  15. C

    Caroline Danzi JF-Expert Member

    #15
    Apr 15, 2011
    Joined: Dec 19, 2008
    Messages: 3,629
    Likes Received: 56
    Trophy Points: 145
    Rose Big up mamie. Hakuna kitu kitamu kwenye mapanzi kama "UAMINIFU", chanzo cha matatizo ni hiki. Sasa hivi kuna pepo wa mashindano naye ameshika kasi kweli kwa wamama. Mwanaume ukileta za kulleta basi ndiyo umeliwa, unayofanya yanawezekana kufanyika kwa mwamke vile vile.

    Ebu tumkumbuke Mungu kwanza, tuwe na macho ya IMANI, tuache mashindano kwa sababu hatutegemei medali za dhahabu kwenye mambo yote yanayohusu mapenzi. Mwanaume kama kicha cha familia onyesha upendo, mfano mzuri kwa wanaokufuata ili nao wawe products safi. Zaidi ya hapo tunakaribisha shetani, mashindano mwisho wa siku hakuna aliyeshinda zaidi ya kuaibika.

    Rose mdogo wangu, usifanya mashindano mwisho wa siku kwa mwanamke ni aibu. Mpe Mungu maswaibu yako kwa IMANI anatenda.
     
  16. nnunu

    nnunu JF-Expert Member

    #16
    Apr 15, 2011
    Joined: Mar 4, 2011
    Messages: 656
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 0

    LAKIN JE UMEELEWA???....lol

    manake KUSIKIA SI HOJA , NA SI KILA UNACHOSIKIA SIYO KWAMBA UMEKIELEWA.
    kusikia tu hakuna maana kama ulichokisikia haujakielewa.
     
  17. m

    mbongopopo JF-Expert Member

    #17
    Apr 15, 2011
    Joined: Jan 24, 2008
    Messages: 1,112
    Likes Received: 9
    Trophy Points: 135
    Kuna wanawake Hawapendi waume zao wapendeze maana ndio kuibiwa na kushare
     
  18. Rose1980

    Rose1980 JF-Expert Member

    #18
    Apr 15, 2011
    Joined: May 10, 2010
    Messages: 5,701
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    km mimi napenda wanaume wachafu wachafu ...inakuwaje apo?
     
  19. One and Only

    One and Only Senior Member

    #19
    Apr 15, 2011
    Joined: Mar 7, 2011
    Messages: 162
    Likes Received: 15
    Trophy Points: 35
    Mh?? hapo kuna maswali mchafu kivipi? kimavazi, kimwili, yani kivipi?
     
  20. Rose1980

    Rose1980 JF-Expert Member

    #20
    Apr 15, 2011
    Joined: May 10, 2010
    Messages: 5,701
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 0
    ukiniwekea inginia ambaye katoka uko chini na matope kavaa ovarol limechafuka grisi na mabut machafu machafu
    na uku ukaniwekea

    muhasibu wa benk kaulamba,tai kubwa shat fresh kachomekea ananukia na katoka kwnye kiyoyoz

    2me NTAMCHAGUA INGINIA ...napenda mwanaume aonekane ivo,awe shap n active na ntajua uyu ni mchapakaz sana, hajali hali na yupo makin ili mradi lengo litimie
    na wenyefani izi za ufund nawapenda zaid cz nahisi wana akili zaid na ana maamuzi ya haraka haraka 2m iz MORE THAN MAN

    LAKIN AO WANAOFANYA KAZ ZA PROCESSING..weka file,funga sign apa mpelekee meneja....naona km vle hawatumii ubongo sanaaaaaaa (thou akuna kaz isotumia akili) m just toking by bias so pls dnt kunirushia madongo..its just me n wat m THK

    lakin poor me ..NIMEDONDOKEA KWA MFANYAKAZ WA BENK:bored:!!!!!


    bt my wish is 2get aN ingniaa apo mbelen...
     
Loading...