Wamama pendeni waume zenu

Mh?? hapo kuna maswali mchafu kivipi? kimavazi, kimwili, yani kivipi?

awe anafanya kaz za kuchafuka chafuka zile HARDWORK..kutengeneza madaraja,mitambo sjui kuchmba nini zile za uingnia flan

bt nt any mere man ata km mchmba vyooo au mchmba makaburi i mean wale walioenda shule lakin fan zao ndo izo lakin si juma mchmba majalala..:love:
 
basi ndo ...enenda kwa usalama...
kawaeleze mataifa uliyoyaskia..
na mani iwe kwako
:love:
ujumbe unawafikia vilivyo tena hapa hapa JF
sawa baba tumekusikia Asante
vitendo pia vinahijakija bibie, sio mnaenda sehemu na mmeo mmoja katangulia mwingine anakuja nyuma distance zaidi ya 50m
LAKIN JE UMEELEWA???....lol

manake KUSIKIA SI HOJA , NA SI KILA UNACHOSIKIA SIYO KWAMBA UMEKIELEWA.
kusikia tu hakuna maana kama ulichokisikia haujakielewa.
point
Kuna wanawake Hawapendi waume zao wapendeze maana ndio kuibiwa na kushare
wanajisumbua ,na mwanaume si ndio anaendaga mwenyewe kutafuta?
km mimi napenda wanaume wachafu wachafu ...inakuwaje apo?

hakuna mwanamke kama huyu duniani
 
awe anafanya kaz za kuchafuka chafuka zile HARDWORK..kutengeneza madaraja,mitambo sjui kuchmba nini zile za uingnia flan

bt nt any mere man ata km mchmba vyooo au mchmba makaburi i mean wale walioenda shule lakin fan zao ndo izo lakin si juma mchmba majalala..:love:
nini maana ya juma mchimba majalala?
 
unapenda pale unapopendwa naanapotoa VIAMBISHI vya kupendwa..
1.km anahudumia familia fresh
2.anakuheshimu mkewe na kukupa stahki kike zote
3.si mlevi na anawai kurud hm sio habari ya kurud sa 8 usiku akiwa njwiiii
4.ana mawazo mema na ni msaada kwa jamii

BASI APO HUDUMA ZOTE UTAPEWA NA MKEO
ATAKUHESHIMU NA KUKUTENGENEZA UWE BORA MBELE YA MUNGU NA MBELE YA BNADAMU


kinyume na apo ni ...VITA NI VTTTTTAAAAAAAAAAA MURRRAH.....nigeche nikugeche...


Sijacheka leo siku nzima!
Asante kwa mawazo yako Rose!!
 
Back
Top Bottom