Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Alafu wanapenda kujipa majina sio yao, kuna mmoja kaulizwa jina akawa anaogopa kutaja eti anaweza kukamatwa, alipolazimishwa saaana, akamsogelea aliyemuuliza akamwambia sikioni,"Juliachi". Akimaanisha Julias Nyerere.
askari: Taja jina lako tuandike
mmakonde: Ndugu achikari hapo hapatoshi, kaatachi ndogo
askari: Unataka inayotosha iweje?
Mmakonde: Lete karatachi ndefu hapa majengo mpaka ligula (maeneo ya mtwara)
askari: Kwa nini
mmakonde: (akiongea kwa kunong'oneza) jina langu treni
askari: Hwa hwa hwaa, teh teh teh
Alafu wanapenda kujipa majina sio yao, kuna mmoja kaulizwa jina akawa anaogopa kutaja eti anaweza kukamatwa, alipolazimishwa saaana, akamsogelea aliyemuuliza akamwambia sikioni,"Juliachi". Akimaanisha Julias Nyerere.
Mmoja alikuwa anakaa Kimara akiitwa Sementi. Akaharibu akahamia Makongo akabadili jina huko akiitwa MatofaliWakati mwingine ni haraka tu ndo inawafanya waongee sivyo ndivyo, lakini matamshi yote wanayo kinywani, kama huyu eti anasema
"Nasimba simo chimba akija alumbukie".
Mmoja alikuwa anakaa Kimara akiitwa Sementi. Akaharibu akahamia Makongo akabadili jina huko akiitwa Matofali