Wamaasai hatukuagi romantic!

Wamaasai hatukuagi romantic!

Wamasai wanafirwa siku hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ni kweli sijui wana nini hawa jamaa, kuna kipindi niliwahi kutupwa Segerea, kule wamasai wote wameolewa sijui kwasababu waliwanyang'anya marungu
 
Sisi wamaasai hayo mambo hatuyajui sisi kama ni kazi ni kazi.hatunaga maandalizi sisi ni kulima tu.
Acha uwongo kabisa, nimewahi kumuona mmasai kwenye lindo Upanga yuko na mke wake mja mzito anamnyoa vuzi LIVE.
Ukiwa kwenye gorofa unaona kilakitu chini, mimi mwenyewe sikuamini
 
ushamba wa mapenzi inategemea mtu na mtu au exposure ya mepenzi
kuna maeneo anaanza mapenzi mtu mzima kabisa ukikutana nae ni balaaa
Hahaha.........kwahiyo akianza mtu mzima ndiyo anakuwa balaa mno 😅

Sipatii picha shughuli yake 🤪
 
Back
Top Bottom