Walokole wengi nuksi sana

Makanisa mengi sana yamekuwa na changamoto za kuwatenga watu kama kwenye jumuhia usipoenda unatengwa.
 
Kama ni hivyo mbona akuna neno mlokole au ulokole kwenye biblia acha wehu wewe yesu alikuja ili watu wawe watakatifu siyo walokole nyinyi ndo mnawaita watu wawe walokole mbona uelewi wewe boya utaelewaje wakati ni mlokole = unafiki + usukule
Iko siku utajuta kwa kunitukana
 
Bora Masanja anavyo wakusanya na kujikusanyia ela ya sadaka na hope very soon ataongeza Masanja 2 (BW) ya Monika
Hata awe na magari elfu, kumbuka kwamba ufalme wa Mungu haumo katika uwingi wa vitu mtu alivyo nanyo. Ni kujilisha upepo tu
 
Humu wengi watabisha,ila ukweli utabaki kuwa hivyo,walokole wanakiburi sana,wanajiona hapa duniani ndiyo wameshafika mbinguni,tunaye mmoja mtaani hapa,hata salamu hakuna,ukimsalimia anakausha,akiitikia husikii kama kaitikia.
Ukiona mlokole anakuchangamkia,ujue ana mpango wa kukushawishi na wewe uwe mlokole kama yeye.
 
Kitu cha ajabu kwenye makanisa ya walokole kila mtu ana pepo ?

Mambo ya ajabu sana, au ni usanii unaendelea pale makanisani kwao.
Nazani ujui maana ya ulokole ungejua usinge uliza swali hilo
Ulokole ni usekule+,unafiki .ulokole chanzo chake ni chetani
Bali utakatifu chanzo chake mungu

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri c jambo jema kutukana dhehebu au dini ya mwenzio kwa sababu ukimtukania dini/dhehebu lake naye atakutukania dini/dhehebu lako.
 
Haha hapo umemmaliza kabisaa....
Hata hivyo watu wanapaswa kufahamu hao waitwao walokolr si malaika!
 
Asante!
 
Hutaki matusi wakati ww unatukana wenzio?!
Kuna binti wa kilokole kakukataa ndo maana unawaona nuksi?


Who are you to judge?

Ww lzm ulikuwa mlokole ukaharibu ss unataka wote waonekane wabaya wakati shida ni ww!

Km wanafanya hayo waache,watajibu kwa muumba wao wanaemdanganya ww hayakuhusu!
 
Walokole wakatoliki wapoje hao???
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Me mgeni, Samahani mkuu neno "kugegeda" lina maana gani, Tafadhali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…