Wallet

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,312
Ivi wallet in ya nini hasa zaidi ya kuringishie kuwa una bunda la hela?
Wakuu kama kukosa wanawake bora nikose,,kitu wallet sikipendi katika maisha yangu.

Mbona laki hata 2 zinakaa kwenye mfuko mdogo wa jinsi? walet yanini ilhali inaharibu busness card?

Kama Mpesa na Z-pesa ziko kila mahali,,,ATM zipo kila kona,,,,Wallet ni ya nini?

Mi nahisi ni ubitozi wa kutaka kung'oa milupo.
 
Hahahahahahaaa bunda la pesa linakaa kwenye wallet? labda bunda la dollar
 
milupo yenyewe ya siku hizi ina mawaleti yao yamejaa misimbazi. Hv bdo kuna milupo inashoboka na walet mpaka leo eeh??..
 
wallet muhimu,......ili kukwepa majambazi.
 
ha,ha,ha,haaa... Mimi ninaona wallet ya kunilindia bussness card,ATM, na vitambulisho tofaut ila mara kwa mara huwa ninaisahau home mana kama ni pesa huwa ninatumia M.pesa na tigo pesa. Hvyo wallet huwa ninaitumia kama sample tuu ya kunijazia mfuko
 
wallet muhimu,......ili kukwepa majambazi.

acha uwongo huwez ukawa unakwepa majambaz kwa wallet sema unawapangia waichukuwe na wachukuwe kwa urahisi sawa kijana
 
ha,ha,ha,haaa... Mimi ninaona wallet ya kunilindia bussness card,ATM, na vitambulisho tofaut ila mara kwa mara huwa ninaisahau home mana kama ni pesa huwa ninatumia M.pesa na tigo pesa. Hvyo wallet huwa ninaitumia kama sample tuu ya kunijazia mfuko

Ili iweje?
 
Walett karne ya 21!!Duh!Very interesting!
 
Hiyo ID yako hlf 2ongelee kuhusu walleti!!
 
milupo yenyewe ya siku hizi ina mawaleti yao yamejaa misimbazi. Hv bdo kuna milupo inashoboka na walet mpaka leo eeh??..

Mademu wengi bado wanaangalia kama mfuko umewekwa wallet bila kujali hiyo wallet ina hela au haina,,,cha msingi iwepo tu.
 
Ili iweje?

nikiona siku hali ya mifukon imecheka ndo nitaweka wallet ila kama nikiwa ninapesa wallet huwa ninatupa kule. Alafu siku hz unakuta liwallet kubwa hilo mpaka unashndwa kuelewa hii wallet au la! Mana ukiliweka mfuko wa nyuma utazan umeongeza ukubwa wa kalio
 
Kunazingine hazijatolewa kwenye mfuko mda mrefu mpaka sugu au lilialama la kudumu limejichora.
 
hapo red:Yaan mnatuchukulia wanawake ni bidhaa au huduma inayonunulika kwa pesa tu.
 
Kunazingine hazijatolewa kwenye mfuko mda mrefu mpaka sugu au lilialama la kudumu limejichora.

kwel alafu mm ninaona kwa tanzania sijaona umuhimu wa kutumia wallet mana kila kona kibaka au mwiz wote wanataka wallet wasepe yan ninashindwaga kuelewa hapo mana ninakumbuka mara ya mwisho niliwah kulizwa elfu 80 kwenye wallet hv hv kwenye daladala. Toka hapo sijaona tena umuhmu wa wallet. Na siku nyngne nilikutana na vibaka wakanisach wakanikuta na buku mbili na Atm kad yangu wakaishia kunivua viatu na hapo ndo nilipokuja kuona kumbe wallet haina maana bora kuwa hivi hv
 
Mimi hele zangu huwa nazichimbia kwenye kale kamfuko kadogo ka jeans,,wale mademu wanaosachigi wanaume akienda washroom,,wananikomaga.
 
wallet inasaidia kwa vitambulisho, business cards na ATM, bila izo basi wallet haina maana!!!
 
milupo yenyewe ya siku hizi ina mawaleti yao yamejaa misimbazi. Hv bdo kuna milupo inashoboka na walet mpaka leo eeh??..

ni sawa kabisa baaaana milupo iko full MABOVU,YAANI HAINA MAJOTO! haishobokei walet za kinakaka wala nini!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…