Wallet za Kiume zimerudi

Wallet za Kiume zimerudi

Habarini tena.

Wallet nyingine zimekuja za kiume. Ni za PU-Leather. Kwa sasa nina models mbili. Slim wallet na nyingine nene.

Wallet nene zina card slots 8, mfuko wenye zip kwa ajili ya coins na mfuko wa kuweka cash.

Ila kwa wasio na flavor ya wallet nene kuna nyembamba zipo simple.

Wallet zote ni Tsh 20,000 tu na zipo sealed New.

Rejea picha hapa chini.

Nipo Ubungo nicheki kwa 0758095750

Naomba support yenu.View attachment 773890View attachment 773891View attachment 773892View attachment 773893View attachment 773894View attachment 773895
mfano wa wallet ya kwanza ya pili na ya tatu ndio ninayo mim. Ni wallet nzuri sana tena sana...wadau muungeni mkono kwa mzigo huo aisee na mtojuta kwa wallet hzo
 
Habarini tena.

Wallet nyingine zimekuja za kiume. Ni za PU-Leather. Kwa sasa nina models mbili. Slim wallet na nyingine nene.

Wallet nene zina card slots 8, mfuko wenye zip kwa ajili ya coins na mfuko wa kuweka cash.

Ila kwa wasio na flavor ya wallet nene kuna nyembamba zipo simple.

Wallet zote ni Tsh 20,000 tu na zipo sealed New.

Rejea picha hapa chini.

Nipo Ubungo nicheki kwa 0758095750

Naomba support yenu.View attachment 773890View attachment 773891View attachment 773892View attachment 773893View attachment 773894View attachment 773895
nimeipenda hii ya nne vp na mie nipo tmk dar
 
Ningechukua,tatizo bei nayo ni kubwa .wamasai wanauza wallet ngozi og sh 4000/= tu
 
Nadhani Mkuu Hizo Wallet Na Hiyo Bei
Bila Shaka Ngozi Uliyotumia Kutengenezea
Ni Ya Tembo Wa Ulaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom