Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,268
Leo naja GoldieNi wewe tu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo naja GoldieNi wewe tu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama ni "pure leather" na sio hizi kanyaboya za Kkoo, elfu ishirini ni bei cheap kiasi.Asia mkuu
Kama ni "pure leather" na sio hizi kanyaboya za Kkoo, elfu ishirini ni bei cheap kiasi.
Ndio wapi???Kijengeni.
Naihitaji leo mojaKijengeni.
Dah hapo ndio utata sin mtu wa kumtumia kwa dsm, usawa huu ukimpa hela ndugu au rafiki eti ya wallet unamtafuta tu lawama, shukrani nilikua nahitaji moja tena ingefaa leo hii, nitajaribu kutafuta huku kama kuna wengine wanazoMkuu kwa Arusha sidhani labda wewe awe na jamaa DSM tufanye nae biashara yeye atakutumia.
Kijenge , moshono , sakina , ngaramtoni unapata hizo pochi manyoya.Ndio wapi???

Kijenge , moshono , sakina , ngaramtoni unapata hizo pochi manyoya.Ndio wapi???

Pole sana mkuu,kwa hiyo unatembea na wallet mbili mkuu!!!?PU-Leather mkuu. Niliteta Original kujaribu soko piece 5 tu nilinunua kwa USD 36 kila moja ukitoa usafiri na trasaction za bank, nikawa nauza laki 1 nimeishia kuuza kwa hasara na mkopo na nyingine 2 kutumia mwenyewe.
Hizi ni PU-Leather (polyurethane).
