mhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:lol::lol::lol:
Umeona eeh, utadhani ansema karibuni.
Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.
Na biashara matangazo, weka embe zako chumbani kama wanunuzi wataona, zitaoza zote.
Kweli eh!
naona wajifurahisha nafsi yako weye!
Kweli eh!
naona wajifurahisha nafsi yako weye!
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.
Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli .Ahsanteni kwa kunielewa! LOL
Wenyewe wamekuPM wewe unawajibu jamvini.
Kaaazi kweli kweli.Au ndio unatafuta mtu kiujanja?
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.
Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli .Ahsanteni kwa kunielewa! LOL
Ntajipaisha kwa mpenzi wangu na sio kwenye jamvi kama vile natafuta wateja.Na wewe jipaishe.
jamani mie bado ila nawatoto saba, na wajukuu 2
Sina maana nyingine bali ni kuweka wazi kwamba sijawahi mpaka wakti muafaka utakapofika!
Fafanua vizuri pengine hujawahi kutumia tigo
Mhhh habari imekaa kiudaku
Ahhh halafu huku ni chit chat nishapata ujumbe
hongera Zinduna aendelea kulinda Zinduna yako