Wallah Sheikh Kipozeo hapa anasubiri

Wallah Sheikh Kipozeo hapa anasubiri

Wewe ni Mkristo ? Process ya mwili kutoka kwenye kaburi kwenda mbinguni mimi sijui wewe ndiye unayejua na ndio maana ukasema kinachoingia mbinguni ni roho sio mwili

Ndio nikataka kujua kwako Nabii Elijah aliyepaa na Farasi wa moto mbinguni aliingiaje kwa roho au mwili ?
Mkuu biblia inaelezea watu wawili tu ambao hawakufa walipaa mbinguni kama walivyo nao ni Nabii Henoko na Nabii Elia ukimtoa Yesu maana Yesu siyo mtu ila alikuja tu katika mwili wa mtu na alikufa halafu akafufuka na labda nikwambie tu kuwa binadamu anapokufa roho yake inatoka na hapo itaenda mbinguni au motoni kutokana na imani na matendo yake

Kwa wale ambao roho zao zitafanikiwa kuingia mbinguni wakifika kule wanapewa miili mipya ambayo haijawahi kutenda dhambi kwa sababu hii miili waliyoiacha duniani imetenda dhambi kwahiyo hapo tunaona kwamba sababu ya mwili kufa na Mungu kuchukua roho ni kwa sababu mwili unakuwa umeshatenda dhambi na mbinguni hakiingii kitu chenye dhambi

Hata kama ulikuwa mzinzi ukaja ukatubu ukasamehewa ule mwili haubadilishi ukweli kwamba ulishawahi kuzini kwahiyo mwili utakuwa ni mchafu japo roho yako inakuwa imesamahewa sasa sababu ya hao watu wawili kuchukuliwa kama walivyo ni kwa sababu miili yao haikuwahi kutenda dhambi na haikuwahi kuwa dhaifu

Ndo maana wanasemaga duniani hakuna binadamu mkamilifu ndo maana wote tunakufa kwahiyo ukisikia watu hawakufa bali walipaa mbinguni ujue hao walikuwa wakamilifu kwenye kila kitu kiasi kwamba Mungu hakuona sababu ya kuwapitisha kwenye kifo kwahiyo tunasema tangu dunia iumbwe hadi leo hii hakujawahi kutokea binadamu mkamilifu zaidi ya hao wawili tu wengine wote walikuwa na mapungufu sasa hizo ni sababu zilizoandikwa kwenye biblia ila Mungu ana siri nyingi sana na ana sababu zake nyingi sana ambazo hawezi kuruhusu binadamu tuzijue
 
Kwa hyo mungu aliporuhusu tendo la ndoa duniani ina maana aliruhusu uchafu wa tendo la ndoa duniani?

Aiseee Mungu wako wa ajabu sana.
Aliruhusu uchafu hapa duniani?
Hahahaha mkuu nimesema tendo la ndoa ni uchafu kwa Mungu ila kwa wanadamu aliliweka kama starehe kwa sababu sisi ni binadamu tena alilibariki lifanywe na wanandoa tu na siyo hawa wahuni wa kutest mitambo ndo maana likaitwa tendo la ndoa na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoa

Tena alizaliwa kupitia mwanamke bikira ambaye hajawahi kufanya tendo la ndoa ndo uone sasa alivyoonyesha msisitizo wa jinsi gani kwa Mungu tendo la ndoa ni taka taka halafu unauliza kwanini aliliruhusu? Sasa kama alimruhusu shetani kuja duniani kutujaribu tendo la ndoa ni kitu gani? Tendo la ndoa ni baya kuliko shetani?
 
2 Kings:2:11
Barikiwa sana hiki ndicho nilichokuwa nikikitafuta kwako nilikuwa na dhana kuwa huenda ulisikia pahala ukakalili tu na hujui hilo andiko linapatikana wapi.

Nakuwekea kuanzia wafalme 2:9-14 ujifunze neno la faraja na uweza wa Mungu naamini liakubariki mno

2 Wafalme:2.9
Hata ikawa, walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, Omba kwangu lo lote utakalo nikutendee, kabla sijaondolewa kwako. Elisha akasema, Nakuomba, sehemu maradufu ya roho yako na iwe juu yangu.
2 Wafalme:2.10
Akasema, Umeomba neno gumu; lakini, ukiniona nitakapoondolewa kwako, utalipata; la hukuniona, hulipati.
2 Wafalme:2.11
Ikawa, walipokuwa wakiendelea mbele na kuongea, tazama! Kukatokea gari la moto, na farasi wa moto, likawatenga wale wawili; naye Eliya akapanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli.
2 Wafalme:2.12
Naye Elisha akaona, akalia, Baba yangu, baba yangu, gari la Israeli na wapanda farasi wake! Asimwone tena kabisa; akashika mavazi yake mwenyewe, akayararua vipande viwili.
2 Wafalme:2.13
Kisha akaliokota lile vazi la Eliya lililomwangukia, akarudi, akasimama katika ukingo wa Yordani.
2 Wafalme:2.14
Akalitwaa lile vazi la Eliya lililomwangukia, akayapiga maji, akasema, Yuko wapi Bwana, Mungu wa Eliya? Naye alipoyapiga maji, yakagawanyika huku na huku, Elisha akavuka.
 
Hao si wanaokoteza wanayoyasikia halafu wanakariri mkuu yaani hawa watoto wa bi mdogo wana mambo ya ajabu
 
Hahahaha mkuu nimesema tendo la ndoa ni uchafu kwa Mungu ila kwa wanadamu aliliweka kama starehe kwa sababu sisi ni binadamu tena alilibariki lifanywe na wanandoa tu na siyo hawa wahuni wa kutest mitambo ndo maana likaitwa tendo la ndoa na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoa

Tena alizaliwa kupitia mwanamke bikira ambaye hajawahi kufanya tendo la ndoa ndo uone sasa alivyoonyesha msisitizo wa jinsi gani kwa Mungu tendo la ndoa ni taka taka halafu unauliza kwanini aliliruhusu? Sasa kama alimruhusu shetani kuja duniani kutujaribu tendo la ndoa ni kitu gani? Tendo la ndoa ni baya kuliko shetani?
Mkuu naweza kupata andiko linalosema tendo la Ndoa ni uchafu kwa wanandoa?
Mana naona kama unamsingizia Mungu vile.Mungu hawezi kuruhusu uchafu na kuuridhia na kuuhalalisha kabisa.

Hivi Mungu anaweza kuhalalisha uchafu ?
 
Thibitisha ewe kunguru mwitu...!
Mada nyingi sana zinazohusu Uislam ziliwahi kujadiliwa humu jamiiforum na nilikuwa nakuona jinsi ulivyokuwa unaudharau na kutoa majibu ya kashfa (kukashifu) Uislam, leo hii mgalatia ujiite muislam. Mahusat?
 
Huyu kwenye mijadala mingi ambayo iliyokuwa ikijadili mambo ya Kiislam au kujadiliwa Uislam alikuwa ni mmojawapo katika wenye kuukashifu Uislam, eti leo anajidai Muislam!
Dah aisee
 
Kumponda sheikh bila kujua lengo na mazingira ya mahubiri yake sii sahihi. Inawezekana kabisa mahubiri hayo yalitolewa kwenye mhadhara unaohusu mambo ya ndoa. Hata makanisani mahubiri hayafanani kila siku. Kuna siku tunapewa semina za ndoa.
 
Sawa lakini siyo kwa kuwaza kuwa eti mtawakuta hadi mbinguni na kila mwanaume atapewa wanawake mabikra 72 aisee wanaume wa kiislam mnawaza kungonoka tu haani duniani mngonoke msimkumbuke Mungu na mbinguni napo mkangonoke msimkumbuke Mungu? Hebu acheni kuichafua mbingu bwana hakuna tendo la ndoa kule ni kusujudu tu

Asiyeamini basi huyo anataka kwenda sehemu nyingine tofauti na mbinguni ambapo ni motoni tatizo mimi nikisema nitaambiwa kila kitu napenda kushindana na wanaume hahahaha basi poa endeleeni kuwasubiria hao wanawake maana kuambiwa ukweli hamtaki mnasema tunashindana na nyie jitahidini mwaya mfanye matendo mema muende mbinguni mkakutane na hao wanawake
Ni ngumu sana I seee kubadili mindset ya mtu wakati kaamimishwa hivyo tangu utotoni kupitia kitabu chake. Hakuna kitu hatari kama Imani ya mtu.
 
Thibitisha ewe kunguru mwitu...!
Acha kuongea uongo na hapa ndio nathibitisha, hii hapa chini ni moja kati ya post zako na uliandika mwenyewe kuwa Uislam sio dini, kwamaana hiyo iweje leo ujiite Muislam, acha uongo Wewe sio Muislam
Cc: Edelyn
Screenshot_20190610-212411.jpeg
 
Kuna mambo huwa yananichanganya nakosa majibu hivi yule nabii aliyepaa na farasi yeye Mbinguni ameingia kwa mfumo wa mwili au roho ?
Na wale Farasi wako wapi ? Au walirudi duniani baada ya kumfikisha jamaa ?
Anaitwa nabii nani?
 
"nature" ilitengeneza tendo la kujamiiana kwa ajili ya kuzaana na kuongezeke, wanyama wote wameweza kufuata kusudio hili la asili (wanyama wote hufanya hivi wanapokuwa kwenye "joto lao" isipokuwa mwanadamu tu ambaye amelifanya kuwa burudani....ngono ni kwa ajili ya kuzaana tu na sio burudani!
 
Mkuu naweza kupata andiko linalosema tendo la Ndoa ni uchafu kwa wanandoa?
Mana naona kama unamsingizia Mungu vile.Mungu hawezi kuruhusu uchafu na kuuridhia na kuuhalalisha kabisa.

Hivi Mungu anaweza kuhalalisha uchafu ?
Daah mkuu wewe ni mgumu kuelewa aisee sijui hata kama umesoma hiyo post au umekimbilia kuiquote tu yaani ukianza kusoma hapo mwanzo tu unaona nimeshakufafanulia kuwa tendo la ndoa ni uchafu kwa Mungu ila kwa wanadamu ndo starehe yetu

Sasa mkuu wewe unataka kujifananisha na Mungu kwamba kwa sababu tendo la ndoa kwetu ni starehe na Mungu kaliruhusu basi ndo na yeye analipenda sasa si angelifanya kama analipenda? Mungu siyo mwanadamu na yeye kuruhusu kitu haimaanishi kwamba ndo kizuri watu wanatenda dhambi na wanabarikiwa kwahiyo inamaanisha kwamba Mungu anapenda dhambi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom