Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Jibu langu ni kwamba siyo kila kitu Mungu alichokiruhusu kifanyike au kitokee duniani basi anakipenda vingine kaviruhusu sababu anajua jinsi alivyotuumba binadamu wadhaifu na wenye mapungufu na ana sababu zake kwanini karuhusu tendo la ndoa Mungu aliliruhusu ili tuje kuzaliana na kuongezeka hapa duniani tena alitaka lifanywe na wanandoa tuSwali ulilouliza halihusiani na swali nililo kuuliza. Usikimbie swali,jibu swali kisha uulize swali ambalo ni munasaba.
Nasubiri jibu.
Na ndo maana akakataza uzinzi na uasherati ila sisi tumelifanya kama anasa hadi ambao hawana ndoa nao wanafanya tu wanavyojisikia lakini kwa Mungu tendo la ndoa ni uchafu na mbinguni hakuna tendo la ndoa na ndo maana nikakuuliza je shetani ni mzuri na tutamkuta tena mbinguni sababu tu Mungu ndo alimruhusu aje duniani? Nijibu hapa