Kwanza umemuelewa Maalim vizuri?Siyo mimi bali ni maneno ya waislam wenzako mliopotoka kama wewe kuna la uongo nililosema hapo?
Sawa lakini siyo kwa kuwaza kuwa eti mtawakuta hadi mbinguni na kila mwanaume atapewa wanawake mabikra 72 aisee wanaume wa kiislam mnawaza kungonoka tu haani duniani mngonoke msimkumbuke Mungu na mbinguni napo mkangonoke msimkumbuke Mungu? Hebu acheni kuichafua mbingu bwana hakuna tendo la ndoa kule ni kusujudu tuKwanza umemuelewa Maalim vizuri?
Hata Mtume alisisitiza hilo kuwa wanawake ni furaha ya Waume zao, wajirembe na kuwatamanisha wawezavyo ilimradi wapi faraghani.
Wagalatia hamjui mapenzi...!!
Hilooo...
Matendo mema? Yapi hayo?Sawa lakini siyo kwa kuwaza kuwa eti mtawakuta hadi mbinguni na kila mwanaume atapewa wanawake mabikra 72 aisee wanaume wa kiislam mnawaza kungonoka tu haani duniani mngonoke msimkumbuke Mungu na mbinguni napo mkangonoke msimkumbuke Mungu? Hebu acheni kuichafua mbingu bwana hakuna tendo la ndoa kule ni kusujudu tu
Asiyeamini basi huyo anataka kwenda sehemu nyingine tofauti na mbinguni ambapo ni motoni tatizo mimi nikisema nitaambiwa kila kitu napenda kushindana na wanaume hahahaha basi poa endeleeni kuwasubiria hao wanawake maana kuambiwa ukweli hamtaki mnasema tunashindana na nyie jitahidini mwaya mfanye matendo mema muende mbinguni mkakutane na hao wanawake
Kwangu mimi matendo mema ni kufuata amri za Mungu tu hakuna kingine ila kwao wao matendo mema si kuoa wake 4? Kwahiyo wakifa wakaenda mbinguni wanaenda kuongezewa wake 72 tena mabikira yaani kwao sheria za sunna ndo wanazifuata sababu zinawanufaisha ila zile sheria za fardh ndo hawazifuati sababu haziwanufaishiMatendo mema? Yapi hayo?
Asante mpendwaKwangu mimi matendo mema ni kufuata amri za Mungu tu hakuna kingine ila kwao wao matendo mema si kuoa wake 4? Kwahiyo wakifa wakaenda mbinguni wanaenda kuongezewa wake 72 tena mabikira yaani kwao sheria za sunna ndo wanazifuata sababu zinawanufaisha ila zile sheria za fardh ndo hawazifuati sababu haziwanufaishi



Walishajua wakiongelea uhusiano wanapata wafuasi wengi pamoja na mapatoHiii ndo Tabu ya waislam kusimamiwa na BAKWATA kipozeo ni kama yule mchungaji anayejiita miti mingi huwa anahubiri ngono kanisani
Kuna mambo huwa yananichanganya nakosa majibu hivi yule nabii aliyepaa na farasi yeye Mbinguni ameingia kwa mfumo wa mwili au roho ?Ah hivi kumbe ndo nyie pia mnaojipa moyo kuwa wanaume wa kiislam watakaofanikiwa kuingia mbinguni watakuta wameandaliwa wanawake mabikira 72 kila mmoja? Aisee hii dini ina mambo ya ajabu sana yaani watu wanadanganywa kila kitu na wanaamini
Mtu anashindwa kufikiria tu kwamba kule mbinguni kinachoenda ni roho na siyo mwili yaani mwili ukishaoza kule kaburini ndo basi na siku zote chenye tamaa na shauku ya kutaka kufanya dhambi ni mwili na siyo roho sisi wakristo huwa tunamnukuu Yesu aliposema "roho i radhi lakini mwili u dhaifu sana"
Halafu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu haya mambo mliyowekewa duniani msitegemee mtaenda kuyakuta mbinguni yaani kitu ambacho Mungu alikiweka ni starehe kwa viumbe vyake hadi wanyama ndege na wadudu duniani ndo kikawepo na mbinguni? Subhanallah hivi nyie mbinguni mnapachukuliaje wandugu?
Kule ni patakatifu siyo sehemu ya kwenda kufanya zinaa wala kufunga ndoa tena kule ni sehemu ya kumsifu na kumuabudu Mungu tu hata hao kina Solomon na David hayo ya kuoa wake wengi waliyaacha hapa hapa duniani huko walipo wanasujudu tu saa hizi na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoa sema daah watoto wa bi mdogo mna kazi
yani huku depo la kusali na kusujudu kumbe tukifika huko tunaliendeleza milele duh!!! vp ukitegea kidogo unafukuzwa?//Ah hivi kumbe ndo nyie pia mnaojipa moyo kuwa wanaume wa kiislam watakaofanikiwa kuingia mbinguni watakuta wameandaliwa wanawake mabikira 72 kila mmoja? Aisee hii dini ina mambo ya ajabu sana yaani watu wanadanganywa kila kitu na wanaamini
Mtu anashindwa kufikiria tu kwamba kule mbinguni kinachoenda ni roho na siyo mwili yaani mwili ukishaoza kule kaburini ndo basi na siku zote chenye tamaa na shauku ya kutaka kufanya dhambi ni mwili na siyo roho sisi wakristo huwa tunamnukuu Yesu aliposema "roho i radhi lakini mwili u dhaifu sana"
Halafu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu haya mambo mliyowekewa duniani msitegemee mtaenda kuyakuta mbinguni yaani kitu ambacho Mungu alikiweka ni starehe kwa viumbe vyake hadi wanyama ndege na wadudu duniani ndo kikawepo na mbinguni? Subhanallah hivi nyie mbinguni mnapachukuliaje wandugu?
Kule ni patakatifu siyo sehemu ya kwenda kufanya zinaa wala kufunga ndoa tena kule ni sehemu ya kumsifu na kumuabudu Mungu tu hata hao kina Solomon na David hayo ya kuoa wake wengi waliyaacha hapa hapa duniani huko walipo wanasujudu tu saa hizi na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoa sema daah watoto wa bi mdogo mna kazi
Kwahiyo unataka kusemaje labda? Unataka kusema kwamba mtu akifa akafukiwa kaburini mwili ule ule uliofukiwa ndo unaenda mbinguni? Duuh hebu nielezee hiyo process aisee nilikuwa sijui anatokajetokaje humo kaburini?Kuna mambo huwa yananichanganya nakosa majibu hivi yule nabii aliyepaa na farasi yeye Mbinguni ameingia kwa mfumo wa mwili au roho ?
Na wale Farasi wako wapi ? Au walirudi duniani baada ya kumfikisha jamaa ?
Ndo hapo sijajua ila hadi umefanikiwa kuingia mbinguni basi ujue Mungu kashajua kwamba utategea ua hautategea na ana vigezo vingi vya kumchagua mtu kuingia ambavyo ni siri yake hivi tunavyovijua sisi ni baadhi tu na ni minor sanayani huku depo la kusali na kusujudu kumbe tukifika huko tunaliendeleza milele duh!!! vp ukitegea kidogo unafukuzwa?//
kwahiyo tule bata tuNdo hapo sijajua ila hadi umefanikiwa kuingia mbinguni basi ujue Mungu kashajua kwamba utategea ua hautategea na ana vigezo vingi vya kumchagua mtu kuingia ambavyo ni siri yake hivi tunavyovijua sisi ni baadhi tu na ni minor sana
Ule bata? We fuata sheria na amri zake tu siyo ufanye dhambi makusudi eti kwa sababu hujui vigezo vyake hapana wewe play part yako na yeye atafanya the restkwahiyo tule bata tu
basi maisha magumu sana yani hakuna bata zozote si hapa wala huko ,kote full depo ni mwendo wa kusujudu mpaka tukomeUle bata? We fuata sheria na amri zake tu siyo ufanye dhambi makusudi eti kwa sababu hujui vigezo vyake hapana wewe play part yako na yeye atafanya the rest
Usijifanye una akili nyingi wewe jamaa ,umesema kinachoenda mbinguni ni roho na sio mwili ,na mimi nikauliza swali yule Nabii aliyepaa na Farasi aliingia Mbinguni kwa roho au mwili ? Hao farasi wako wapi ?Kwahiyo unataka kusemaje labda? Unataka kusema kwamba mtu akifa akafukiwa kaburini mwili ule ule uliofukiwa ndo unaenda mbinguni? Duuh hebu nielezee hiyo process aisee nilikuwa sijui anatokajetokaje humo kaburini?
Wewe muarabu mweusi unajua mapenzi?Wagalatia hamjui mapenzi...!!
Hilooo...
Ni nabii gani aliyepaa mbinguni na farasi huyo?Kuna mambo huwa yananichanganya nakosa majibu hivi yule nabii aliyepaa na farasi yeye Mbinguni ameingia kwa mfumo wa mwili au roho ?
Na wale Farasi wako wapi ? Au walirudi duniani baada ya kumfikisha jamaa ?