Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Hauwezi kuelewa sababu haujasoma biblia naomba nikuache na uelewa wako huo huo waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana ni heri ya mimi ninayeamini kuwa Yesu ni Mungu kuliko yule anayeamini kuwa mbinguni kuna wanawake mabikira 72 walioandaliwa kwa ajili ya kila mwanaume wafanye nao tendo la ndoa aisee that's stupidity at its bestimani yenu hainaga logic..kwamba yesu ni mungu,mwana wa mungu pia,lakini mama yake ni bikira maria ambae alipata mimba kwa miujiza ya mungu,yaani yesu alimtia mimba mama yake ili azaliwe,we na kwenda shule kote unajifanya kuelewa hapo!!?