Walitaka kuchinja, lakini....!

Walitaka kuchinja, lakini....!

Apumzike kwa amani huyo aliye mkiani mwa ligi ya wachinjaji.
 
Daaaaahhhh basi ilikuwa bonge la patashika kuwahi kutokea,sasa mkuu unamaanisha wewe ulikimbia hadi ukawa huna habari kabisa na waifu?Je kama ungeona waifu tu ndo anaandamwa na huyo ngo'mbe ungechukua hatua gani?
blue g huko unakoelekea ni kutafuta uchokozi maana ni kama unasema jamaa ni mwoga mpaka amesahau familia.labda angesema we ng'ombe mwache mke wangu kwani yeye alishiriki kutaka kukuchinja labda lakini
 
Aiseee taamu mbona unakuwa hivyo lakini?mi sijasema hivyo banah nilitaka kujua tu angefanyaje,kwani ungekuwa wewe ungefanyaje?maanake uliyo mwoga i guess coz sio kunicharukia mwana wa mwenzio kwa point yangu kwa st paka mweusi inaonekna nimekugusa pabaya eeehhh?

Last edited by a moderator:

mimi nimehoji sababu unavyohoji mkuu utafikiri ramadhani ighondu.ila st paka mweusi inaonekana alikuwa anaongoza hizo marathoni.
 
Haaaahaaaaaahaaaa kwa hiyo na we ungekuwepo ungekuwa wa pili kutoka kwa st paka mweusi au?

dah kaswali ka mtego ningetoka baruti huku namwambia waifu kibia waifuuu ili baadae asije niona mwoga akanizodoa angalau aone nilimjali japo ki hofu hofu

Watoto watundu sana nyie mbona mna visa hivyo..??Ila msiombe kabisa kuwa katika patashika kama hiyo maana kitakachokuokoa ni miguu yako tu,mengine mtaulizana baadaye...
 
Haaaaaaaaaahaaaaaaahaaaaaa taamu you made my day hapo nishaongeza siku kadhaa za kuishi,nimechekaje?kwa hiyo we ungemsevu waifu kwa maneno au siyo???

kiukweli ni kasheshe ila baadae mtajifanya mnapendanaaaa na vi mwa mwa vya nguvu kumbe ulishamtelekeza waifu.
 
Haaaaaaaaaahaaaaaaahaaaaaa taamu you made my day hapo nishaongeza siku kadhaa za kuishi,nimechekaje?kwa hiyo we ungemsevu waifu kwa maneno au siyo???
sasa jing'ombe limefura lataka kumzoa kila mtu kwanini nisijifanye mnafiki ili baadae nisijepewa kimasharti kwa kosa la kutoupigania uhai wa wife
 
Hivi my waifu wako anajua haya maoni yako endapo itatoke ng'ombe akaanza kuwafukuza au ni siri yako?????

hata akijua ngo'mbe akitokea mi nakimbia kama jamaa hao kila mtu na kaburi lake,au asubiri siku ng'ombe atokee ndo atajua kwamba washiriki wa olimpiki wapo sema tu hamna kianzishio cha mwendo
 
Teh teh teh mkuu taamu leo umeniacha hoi aiseee!!!fanya siri basi my waifu asijue maanake ataumia kujua kuwa myhusband wake hawezi kumlinda ngo'mbe akicharuka,ila siku ng'ombe akicharuka kweli ndo hapo atakapojua mumewe anapenda olimpiki kuliko yeye ataliaje?Siombei mwaya jst ajoke najua unampenda my waifu na uko tayari kwa lolote kwa ajili yake.

unanifundisha unafiki kama nauogopa ng'ombe kwanini nimuongopee ndo maana nikasema tusubiri ng'mbe atokee do tujue,we unaona kabisa jamaa wapo kundi na misuli yao jumlisha uroho wao wamekimbia juu ya mnara halafu unasemaje tena waifu ndo anaweza kuniambia nikimbie maana anajua najifanyaga mbishi.utasikia khimbia baba naniliu chezea gombe weye.
 
haaaaahaaaaaa haya mkuu taamu.

Back
Top Bottom