Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,253
- 36,508
Nimekuwa naangalia mfululizo clip ya video ambayo inaonyesha namna Mnyika alivyoamua kwa dhati kuchafua hali ya hewa Bungeni...
Alikuwa na nafasi ya kusikilizwa lakini aliamua kudhalilisha kiti cha Spika huku akijua bunge lipo Live. Hiki ndicho wapinzani wanachokitaka yaani kutengeneza motions ndani ya Bunge ili waonekane wanaonewa.
Najua wapo Watanzania wanaoamini mhalifu yeyote ni shujaa. Ni wazi Mnyika amefanya uhalifu dhidi ya kiti cha Spika. Kama alikuwa na malalamiko angetumia utaratibu wa kukaa na kuinuka tena kuhoji mbunge aliyemuita yeye ni MWIZI. Lakini najiuliza kama yeye siyo mwizi kweli ya nini kuhamaki? Angetumia busara.
Kwa namna alivyokuwa anaongea alionekana kama amepiga balimi kadhaa. Hata maiki ilipokuwa imezimwa lakini bado alikuwa anaporomoka maneno yasiyofaa.
Halafun najiuliza wanaharakati wa Tanzania ambapo uhuni unaofanywa na wanasiasa uchwara wa upinzani wanaufumbia macho, lakini wakichukuliwa hatua wanahaha kwenye media kuwa nchi haina Demokrasia.
Jamani hii Golden Fleet ni ya nani kule ACACIA?