Walipukiwa na mabomu wakitaka kulipua kanisa

Na wale walioshoot watu Newzealand walikuwa wanamtumikia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
... swali zuri sana! Hawaku-shoot watu kwa jina la mwenyezi mungu; sikusikia aya zikitamkwa ama kabla, wakati, au baada ya shambulio. Sijasikia yeyote duniani aki-support au kujinasibu na mauwaji yale; so ni washenzi fulani wenye kustahili adhabu kali kwa kitendo kile. Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wote walioathrika kwa namna moja au nyingine.

Tatizo JINA LA MUNGU linapotumika kwenye uhalifu halafu wengine mnawa-support ima kwa uwazi (kauli) au kwa kukaa kimya. Fikiria wakristo wa Coptic wamefanyiwa madhila mangapi pale Egypt lakini wengine kimya kana kwamba wanaochinjwa ni nguruwe. Immediately mmeona reaction ya Prime Minister na Serikali ya New Zealand kwa case ya huko.
 
Safi sana...umemjibu vizuri sana..
Mungu wa watu fulani asingalikuwepo.....dunia ingekua mahala salama sana...huyu mungu wa Magaidi analeta tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washambuliaji wawili wa kujitoa mhanga ambao walikuwa kwenye harakati za kutekeleza shambulizi la bomu katika kanisa moja kaskazini mashariki mwa Nigeria wameripotiwa kufa baada ya bomu waliokuwa nayo kulipuka kimakosa kabla ya kufika kwenye kanisa walililokuwa wakilenga.

Kwa mujibu wa ripoti za polisi, washambuliaji hao walikuwa watatu lakini mmoja akatoroka alipoona wenzake wamelipuliwa. Polisi wamesema kwamba washambuliaji hao walikuwa wakielekea katika kanisa la Seminari kwenye jimbo la Adamawa kutekeleza shambulizi hilo. Polisi wanashuku kwamba kundi la kigaidi la Boko Haram lilihusika kwenye tukio hilo.
53622450_2119292121487939_7466666602461659136_n.jpg

Source:- China Xinhua News
Walijuaje hawa kama wanakwenda kanisani,kama huu sio mpango uliosukwa na hao waliosema na huyo aliyekimbia,na kwa nini huyo alive limbia yeye asilipukiwe na Bomu.Huwenda hawa waliolipukiwa walitekwa,na kufungwa haya mabomu kwa nguvu,bila ridhaa yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom