Walipotoka Maalim Seif na Prof. Lipumba

HII INANIKUMBUSHA WAKATI KAFULILA ANATOKA CHADEMA KUELEKEA NCCR KWA HUKU AKIKASHFU.
WAKATI AKIGOMBEA UBUNGE ZITTO ALIMSAIDIA KUSHINDA, CHADEMA WAKAMUITA ZITTO HAFAI.
NEXT ELECTION, KAFULILA AKAWA PAMOJA NA CHADEMA (UKAWA), CHADEMA WAKAMSAIDIA KAFULILA, ZITTO AKAMPINGA KAFULILA.

INANIKUMBUSHA PIA DR SLAA ALIPOKUWA CDM AKIMSHAMBULIA LOWASSA FISADI, CDM WAKIMUITA SLAA JEMBE. SLAA AKATOKA CDM LOWASSA KAINGIA CDM. LOWASSA JEMBE SLAA MCHUMIA TUMBO.

HIVI TUTUMIE CHOMBO AU UMOJA GANI UTAKAO TUSAIDIA KUITOA CCM MADARAKANI. NCHI INAANGAMIA KWA AJILI YA CCM!
NI LINI HAWA VIONGOZI WETU WATAKAA PAMOJA NA KUELEWANA?
HIVI KUNA UGUMU GANI KATI YA LIPUMBA NA MAALIM KUKAA PAMOJA NA KUONDOA TOFAUTI ZAO!?
Ugumu ulokuepo ni kwamba Lipumba ni balozi wa ccm ndani ya cuf.
Lini kaanza kukitumikia CCM apo siwezi kujua.
 
Siyo kwamba mfumo kristo ndiyo unaivuruga CUF?

Tatizo ni mfumo kristo. Cuf haiwezi kusimama kwasababu chama cha cuf kina element za uislamu.Na nchi hii uislamu ni tatizo.
Na wanaosikitisha ni waislamu, Mana mpka leo mwaka wa 56 bado hawajielewi .
 
Tatizo ni mfumo kristo. Cuf haiwezi kusimama kwasababu chama cha cuf kina element za uislamu.Na nchi hii uislamu ni tatizo.
Na wanaosikitisha ni waislamu, Mana mpka leo mwaka wa 56 bado hawajielewi .
Haaa haaa hasa ukizingatia Wakristo ni 76% wanazidi kutawala na kutafuna keki ya taifa huku 24% wakizidi kutawaliwa takbiri.
 
MAskini waislamu, Walokua wahajasoma waislamu, wapo wanaishi tu hawana mbele hawana nyuma.
Lakini kinachoumiza yote ayo bado wapo tele wanashabikia ccm
 
Mzee Said kuna mzee mmoja alinieleza kiwa watu wa Tabora sio wa kuwaamini. Kuna ukweli wowote kwenye hili na haya yanayotokea CUF?
Pamoja na kuwepo kwa Azimio la Tabora, hebu angalia na uchambue mchango wa kila mmoja wa hawa watani wetu wa Tabora katika Tanzania na Tanganyika kisha utaelewa hulka zao: Chifu Abdallah Fundikira, Samuel Sitta, Prof. Juma Kapuya, Aden Rage, Said Nkumba, Kassanga Tumbo, Kasella Bantu, Said Maswanya, Samwel Sitta, Ibrahim Lipumba, Maalim Mtoro, ...
 
Back
Top Bottom