Walipotoka Maalim Seif na Prof. Lipumba

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,787
30,083
Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?
Nimekuandika kisha nimefuta...naogopa hata hata kusema kaka.
Umeweza kusoma mwandiko wangu?

1995 Uchaguzi Mkuu siku chache kabla ya ‘’D Day,’’ taarifa zilizotufikia tukiwa Zanzibar ni kuwa CCM wameelekezwa wakapige kura mapema sana halafu maskani watafanya vurugu CCM ikiwa inaongoza na ''riot police,'' wataingia na vituo vitafungwa CCM wakiwa wanaongoza mbele ya CUF.

Hizi ndizo taarifa tulizokuwanazo.
Kwa nini iwe hivyo?

Dalili zote zilikuwa zinaonyesha kuwa CUF itashinda uchaguzi sasa njia ya ku-''pre empty,'' ni CCM kuwahi mapema kupiga kura kisha vurugu.

Vumbi litakapotulia na kuanza kuhesabu kura itaonekana CUF walikuwa wanashindwa uchaguzi wakaamua kufanya fujo.

Lakini CUF ni chama kina mshikamano na nidhamu ya ajabu.

Wanachama wameambiwa baada ya Salat Fajr unatoa salamu ya upande mmoja unanyanyuka unakwenda kituoni kupiga kura.

Hakuna kuvuta uradi.
Uradi utavuta njiani.

Siku hii ya Jumamosi 21 Oktoba 1995 Prof. Lipumba akaunguruma Kibanda Maiti akasema kumwambia Rais Ali Hassan Mwinyi yeye kama, ''Commander in Chief,'' ana nguvu ya kuzuia damu isimwagike Zanzibar katika uchaguzi.

Hotuba hii ilinyanyua nyoyo za CUF Zanzibar.

Sheikh Mtoro mimi nipo, ''on the ground,'' naona kila kitu kwa macho yangu tena, ''at 0 distance.''

Naam matokeo Tume ya Uchaguzi Zanzibar wameshindwa kuyatoa wanaingia na kutoka hawajui nini wafanye. Ukweli umewadhihirikia...

Maalim kashinda?

Matokeo yale mimi hadi leo ninayo na naweza nikayaweka In Shaa Allah mkayasoma kama somo la historia.

Ali Ameir akaandika barua Tume kukataa matokeo ya Uchaguzi wa 1995 Zanzibar.

Leo ninaposikia kuwa Prof. Lipumba kamfukuza Maalim Seif nafasi ya Katibu Mkuu CUF kwangu mimi mengi yanarejea kwenye fikra zangu...

Hakika siasa ni mchezo mchafu!
 
Profesa anatumika...siasa sio mchezo mchafu tu...bali kibongo bongo siasa ni mchezo wa maslahi....too bad maslahi binafsi...pole kwa watanzania wapenda demokrasia.
 
Mzee Mohamed Said hivi katiba ya cuf inaruhusu lipumba kukaa na hawara ake chumbani na kuja na Tamko la kumfukuza katibu mkuu ?
 
Bahati nzuri Mwalimu Nyerere hahusiki kwa hili...ni mambo yetu ya mjini mjini haya ambayo tunayaficha kwa majoho ya kuwa watu wema na watakatifu. Ama kweli muda ni mwalimu mzuri sana
 
lipumba hovyooob

Sijui ni Asili ama kitu gani, Watu wa Kigoma na Tabora wana unafiki sana wanakugeuka kweupe, na hili nalisema wala sio suala la deen maana watu kwa Rufiji, Kilwa wana misimamamo thabiti na sio rahisi kuwayumbisha au kukugeuka

Lipumba anafata nyayo za nduguze
 
Maalim Seif ndo alianza mchezo wa kufukuza wenzake katika Chama, kabla ya kuwa CUF hii ya sasa Maalim alimtoa Chamani James Mapalala tena kwa aibu, wakati Ndugu James Mapalala ndo alishiriki kuianzisha CUF akisaidian
Alimfukuza Mapalala kwa kosa gani? Kila kitu ni aibu kikifanywa kinyume cha makubaliano
 
Wanafiki wawili waliishi kwa mashaka muda mrefu sasa ndio imedhihirika turudi historia ya seifu na viongozi wa cuf bara!
 
Elimu Inashushwa Sana Thamani Hapa Nchini Kwetu..
Yani Lipumba Anatia Kinyaa Kuliko Kinyesi Cha Mgonjwa Wa ukimwi..

Hapana!Hapa umekengeuka,siupingi ujumbe wako unaoonesha dhahiri kuwa hukubaliani na maamuzi ya Profesa Lipumba-vu,lakini kuwataja wagonjwa wa ukimwi ni unyanyapaa wa kiwango cha lami.

Wagonjwa wa ukimwi ni ndugu zetu,wazazi wetu,watoto wetu na wengine ni wenzi wetu,hata wewe waweza kuwa mgonjwa kesho,kuwanyanyapaa wagonjwa wa ukimwi ni kitendo kisichokubalika,Verified account inapotumika kunyanyapaa wagonjwa ni jambo lisilovumilika na kila mstaarabu wa jukwaa hili,tafadhari rudi uombe radhi na usahihishe comment yako au uiondoe jukwaani.

Acha kiburi cha uzima,sisi sote ni wagonjwa watarajiwa,hakuna Mwenye mwili wa chuma,sote tuna miili ya nyama iwezayo kuugua na kufa.
 
Sijasoma kivile ila nikiangalia maprofesa wetu kama Lipumba hua sipati hamu ya kusoma zaidi, haina maana.
Elimu inadharirishwa na watu kama Lipumba
 
Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?
Nimekuandika kisha nimefuta...naogopa hata hata kusema kaka.
Umeweza kusoma mwandiko wangu?

1995 Uchaguzi Mkuu siku chache kabla ya ‘’D Day,’’ taarifa zilizotufikia tukiwa Zanzibar ni kuwa CCM wameelekezwa wakapige kura mapema sana halafu maskani watafanya vurugu CCM ikiwa inaongoza na ''riot police,'' wataingia na vituo vitafungwa CCM wakiwa wanaongoza mbele ya CUF.

Hizi ndizo taarifa tulizokuwanazo.
Kwa nini iwe hivyo?

Dalili zote zilikuwa zinaonyesha kuwa CUF itashinda uchaguzi sasa njia ya ku-''pre empty,'' ni CCM kuwahi mapema kupiga kura kisha vurugu.

Vumbi litakapotulia na kuanza kuhesabu kura itaonekana CUF walikuwa wanashindwa uchaguzi wakaamua kufanya fujo.

Lakini CUF ni chama kina mshikamano na nidhamu ya ajabu.

Wanachama wameambiwa baada ya Salat Fajr unatoa salamu ya upande mmoja unanyanyuka unakwenda kituoni kupiga kura.

Hakuna kuvuta uradi.
Uradi utavuta njiani.

Siku hii ya Jumamosi 21 Oktoba 1995 Prof. Lipumba akaunguruma Kibanda Maiti akasema kumwambia Rais Ali Hassan Mwinyi yeye kama, ''Commander in Chief,'' ana nguvu ya kuzuia damu isimwagike Zanzibar katika uchaguzi.

Hotuba hii ilinyanyua nyoyo za CUF Zanzibar.

Sheikh Mtoro mimi nipo, ''on the ground,'' naona kila kitu kwa macho yangu tena, ''at 0 distance.''

Naam matokeo Tume ya Uchaguzi Zanzibar wameshindwa kuyatoa wanaingia na kutoka hawajui nini wafanye. Ukweli umewadhihirikia...

Maalim kashinda?

Matokeo yale mimi hadi leo ninayo na naweza nikayaweka In Shaa Allah mkayasoma kama somo la historia.

Ali Ameir akaandika barua Tume kukataa matokeo ya Uchaguzi wa 1995 Zanzibar.

Leo ninaposikia kuwa Prof. Lipumba kamfukuza Maalim Seif nafasi ya Katibu Mkuu CUF kwangu mimi mengi yanarejea kwenye fikra zangu...

Hakika siasa ni mchezo mchafu!
Siyo kwamba mfumo kristo ndiyo unaivuruga CUF?
 
Sijui ni Asili ama kitu gani, Watu wa Kigoma na Tabora wana unafiki sana wanakugeuka kweupe, na hili nalisema wala sio suala la deen maana watu kwa Rufiji, Kilwa wana misimamamo thabiti na sio rahisi kuwayumbisha au kukugeuka

Lipumba anafata nyayo za nduguze
Na wakati ule Mandevu anawafukuza kina Mapalala na Mloo nakuwa mnafiki eeh?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom