Walipotoka Maalim Seif na Prof. Lipumba

Mandevu ndiyo alianza mchezo wa kuwafukuza wenzake, kina James Mapalala, Shaban Mloo, etc. Sasa yanamrudia
Mapandikizi yote ndani ya CUF yaliweza kudhibitiwa miaka hiyo, sijui pandikizi hili la sasa itakuwaje? Tahadhari tu kwa wanaofanya kazi hiyo, historia inaonyesha siasa kali na za kigaidi huanzia pale watu wanapokata tamaa ya kubadilisha mfumo kwa njia za kiistaarabu. HAMAS ya Palestina ilianzishwa kwa msaada wa MOSSAD ili kuidhibiti PLPF ya marehemu Yaser Arafat.
 
Cuf inakufa, au imeshakufa kabisa limebaki jina tu!

Vijana wake ambao tungetegemea walete sekeseke la kumtingisha lipumba, wako bize na vyeti vya bashite!

Sasa inavyionekana lipumba yuko pale hadi cuf itageuka mchanga, na kaburi lake litakuwa kibanda maiti.
 
Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?
Nimekuandika kisha nimefuta...naogopa hata hata kusema kaka.
Umeweza kusoma mwandiko wangu?

1995 Uchaguzi Mkuu siku chache kabla ya ‘’D Day,’’ taarifa zilizotufikia tukiwa Zanzibar ni kuwa CCM wameelekezwa wakapige kura mapema sana halafu maskani watafanya vurugu CCM ikiwa inaongoza na ''riot police,'' wataingia na vituo vitafungwa CCM wakiwa wanaongoza mbele ya CUF.

Hizi ndizo taarifa tulizokuwanazo.
Kwa nini iwe hivyo?

Dalili zote zilikuwa zinaonyesha kuwa CUF itashinda uchaguzi sasa njia ya ku-''pre empty,'' ni CCM kuwahi mapema kupiga kura kisha vurugu.

Vumbi litakapotulia na kuanza kuhesabu kura itaonekana CUF walikuwa wanashindwa uchaguzi wakaamua kufanya fujo.

Lakini CUF ni chama kina mshikamano na nidhamu ya ajabu.

Wanachama wameambiwa baada ya Salat Fajr unatoa salamu ya upande mmoja unanyanyuka unakwenda kituoni kupiga kura.

Hakuna kuvuta uradi.
Uradi utavuta njiani.

Siku hii ya Jumamosi 21 Oktoba 1995 Prof. Lipumba akaunguruma Kibanda Maiti akasema kumwambia Rais Ali Hassan Mwinyi yeye kama, ''Commander in Chief,'' ana nguvu ya kuzuia damu isimwagike Zanzibar katika uchaguzi.

Hotuba hii ilinyanyua nyoyo za CUF Zanzibar.

Sheikh Mtoro mimi nipo, ''on the ground,'' naona kila kitu kwa macho yangu tena, ''at 0 distance.''

Naam matokeo Tume ya Uchaguzi Zanzibar wameshindwa kuyatoa wanaingia na kutoka hawajui nini wafanye. Ukweli umewadhihirikia...

Maalim kashinda?

Matokeo yale mimi hadi leo ninayo na naweza nikayaweka In Shaa Allah mkayasoma kama somo la historia.

Ali Ameir akaandika barua Tume kukataa matokeo ya Uchaguzi wa 1995 Zanzibar.

Leo ninaposikia kuwa Prof. Lipumba kamfukuza Maalim Seif nafasi ya Katibu Mkuu CUF kwangu mimi mengi yanarejea kwenye fikra zangu...

Hakika siasa ni mchezo mchafu!
Mzee Said kuna mzee mmoja alinieleza kiwa watu wa Tabora sio wa kuwaamini. Kuna ukweli wowote kwenye hili na haya yanayotokea CUF?
 
Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?
Nimekuandika kisha nimefuta...naogopa hata hata kusema kaka.
Umeweza kusoma mwandiko wangu?

1995 Uchaguzi Mkuu siku chache kabla ya ‘’D Day,’’ taarifa zilizotufikia tukiwa Zanzibar ni kuwa CCM wameelekezwa wakapige kura mapema sana halafu maskani watafanya vurugu CCM ikiwa inaongoza na ''riot police,'' wataingia na vituo vitafungwa CCM wakiwa wanaongoza mbele ya CUF.

Hizi ndizo taarifa tulizokuwanazo.
Kwa nini iwe hivyo?

Dalili zote zilikuwa zinaonyesha kuwa CUF itashinda uchaguzi sasa njia ya ku-''pre empty,'' ni CCM kuwahi mapema kupiga kura kisha vurugu.

Vumbi litakapotulia na kuanza kuhesabu kura itaonekana CUF walikuwa wanashindwa uchaguzi wakaamua kufanya fujo.
Ya CUF yanachosha wakae wazungumze halafu wanywe gahawa

Lakini CUF ni chama kina mshikamano na nidhamu ya ajabu.

Wanachama wameambiwa baada ya Salat Fajr unatoa salamu ya upande mmoja unanyanyuka unakwenda kituoni kupiga kura.

Hakuna kuvuta uradi.
Uradi utavuta njiani.

Siku hii ya Jumamosi 21 Oktoba 1995 Prof. Lipumba akaunguruma Kibanda Maiti akasema kumwambia Rais Ali Hassan Mwinyi yeye kama, ''Commander in Chief,'' ana nguvu ya kuzuia damu isimwagike Zanzibar katika uchaguzi.

Hotuba hii ilinyanyua nyoyo za CUF Zanzibar.

Sheikh Mtoro mimi nipo, ''on the ground,'' naona kila kitu kwa macho yangu tena, ''at 0 distance.''

Naam matokeo Tume ya Uchaguzi Zanzibar wameshindwa kuyatoa wanaingia na kutoka hawajui nini wafanye. Ukweli umewadhihirikia...

Maalim kashinda?

Matokeo yale mimi hadi leo ninayo na naweza nikayaweka In Shaa Allah mkayasoma kama somo la historia.

Ali Ameir akaandika barua Tume kukataa matokeo ya Uchaguzi wa 1995 Zanzibar.

Leo ninaposikia kuwa Prof. Lipumba kamfukuza Maalim Seif nafasi ya Katibu Mkuu CUF kwangu mimi mengi yanarejea kwenye fikra zangu...

Hakika siasa ni mchezo mchafu!
 
Sijui ni Asili ama kitu gani, Watu wa Kigoma na Tabora wana unafiki sana wanakugeuka kweupe, na hili nalisema wala sio suala la deen maana watu kwa Rufiji, Kilwa wana misimamamo thabiti na sio rahisi kuwayumbisha au kukugeuka

Lipumba anafata nyayo za nduguze
MAJUMUISHO KAMA HAYO HAPO JUU NI UPUNGUFU WA HEKMA. WATU WOTE WA MKOA FULANI WAKO HIVI, NI HATARI.
 
95% ya wanasiasa wa hayo maeneo niliyoyasema ni wanafiki na sio watu wa kuwa trusted hata kidogo,
Kama hutaki unaacha tu
 
Msimhukumu sana prof,wote wawili ni shida,wanashindwaje kutatua tofauti zao?chama ni wanachama siyo mtu mmoja kwamba lazima Seif tuwe naye ila eti Haruna atoke .Kwa nini? Wamegawana mbao kila mmoja kwa upande wake sawa basi wavunje chama halafu wasajili upya kila mtu na wafuasi wake.
 
Mtoro: Sheikh Mohamed Said ; on your opinion what is the ultimate of CUF ?
Nimekuandika kisha nimefuta...naogopa hata hata kusema kaka.
Umeweza kusoma mwandiko wangu?

1995 Uchaguzi Mkuu siku chache kabla ya ‘’D Day,’’ taarifa zilizotufikia tukiwa Zanzibar ni kuwa CCM wameelekezwa wakapige kura mapema sana halafu maskani watafanya vurugu CCM ikiwa inaongoza na ''riot police,'' wataingia na vituo vitafungwa CCM wakiwa wanaongoza mbele ya CUF.

Hizi ndizo taarifa tulizokuwanazo.
Kwa nini iwe hivyo?

Dalili zote zilikuwa zinaonyesha kuwa CUF itashinda uchaguzi sasa njia ya ku-''pre empty,'' ni CCM kuwahi mapema kupiga kura kisha vurugu.

Vumbi litakapotulia na kuanza kuhesabu kura itaonekana CUF walikuwa wanashindwa uchaguzi wakaamua kufanya fujo.

Lakini CUF ni chama kina mshikamano na nidhamu ya ajabu.

Wanachama wameambiwa baada ya Salat Fajr unatoa salamu ya upande mmoja unanyanyuka unakwenda kituoni kupiga kura.

Hakuna kuvuta uradi.
Uradi utavuta njiani.

Siku hii ya Jumamosi 21 Oktoba 1995 Prof. Lipumba akaunguruma Kibanda Maiti akasema kumwambia Rais Ali Hassan Mwinyi yeye kama, ''Commander in Chief,'' ana nguvu ya kuzuia damu isimwagike Zanzibar katika uchaguzi.

Hotuba hii ilinyanyua nyoyo za CUF Zanzibar.

Sheikh Mtoro mimi nipo, ''on the ground,'' naona kila kitu kwa macho yangu tena, ''at 0 distance.''

Naam matokeo Tume ya Uchaguzi Zanzibar wameshindwa kuyatoa wanaingia na kutoka hawajui nini wafanye. Ukweli umewadhihirikia...

Maalim kashinda?

Matokeo yale mimi hadi leo ninayo na naweza nikayaweka In Shaa Allah mkayasoma kama somo la historia.

Ali Ameir akaandika barua Tume kukataa matokeo ya Uchaguzi wa 1995 Zanzibar.

Leo ninaposikia kuwa Prof. Lipumba kamfukuza Maalim Seif nafasi ya Katibu Mkuu CUF kwangu mimi mengi yanarejea kwenye fikra zangu...

Hakika siasa ni mchezo mchafu!
ANACHOFANYA PROF NI UNYANI TU...BADO HAJAPEVUKA KUWA MWANADAMU ALIESTARABIKA..
 
Kuna kipindi nilipita kwao na prof.Lipumba pale Tabora kijiji cha ilolangulu nilishangaa sana kusikia hakubaliki hakuna mtu ambaye yuko proud off na mafanikio yake au kijiji kutoa msomi number moja wa uchumi Tanzania pale kwao kama wengi wetu walivyo na heshima makwao,mara ya kwanza nilidhani watu wanachuki nae sasa ndio nayaona haya inapofikia unachukiwa mpaka kwenye chimbuko lako kilipo fukiwa kitovu chako uje wewe siwakawaida,tangia nianze kufatilia siasa, kumskia na kumuona prof lipumba ni mtu wamashaka mashaka na asiye aminika
 
Waganga njaa tuu hawana jipya hao. Wako kwenye wrong agenda
 
HII INANIKUMBUSHA WAKATI KAFULILA ANATOKA CHADEMA KUELEKEA NCCR KWA HUKU AKIKASHFU.
WAKATI AKIGOMBEA UBUNGE ZITTO ALIMSAIDIA KUSHINDA, CHADEMA WAKAMUITA ZITTO HAFAI.
NEXT ELECTION, KAFULILA AKAWA PAMOJA NA CHADEMA (UKAWA), CHADEMA WAKAMSAIDIA KAFULILA, ZITTO AKAMPINGA KAFULILA.

INANIKUMBUSHA PIA DR SLAA ALIPOKUWA CDM AKIMSHAMBULIA LOWASSA FISADI, CDM WAKIMUITA SLAA JEMBE. SLAA AKATOKA CDM LOWASSA KAINGIA CDM. LOWASSA JEMBE SLAA MCHUMIA TUMBO.

HIVI TUTUMIE CHOMBO AU UMOJA GANI UTAKAO TUSAIDIA KUITOA CCM MADARAKANI. NCHI INAANGAMIA KWA AJILI YA CCM!
NI LINI HAWA VIONGOZI WETU WATAKAA PAMOJA NA KUELEWANA?
HIVI KUNA UGUMU GANI KATI YA LIPUMBA NA MAALIM KUKAA PAMOJA NA KUONDOA TOFAUTI ZAO!?
 
Back
Top Bottom