Waliowahi kutumia serum ya wix

miss chuga

JF-Expert Member
Dec 25, 2019
303
651
Habari wapenzi?

Nmekuwa nikiona mitandaoni watu wakiitangaza serum ya wix kuwa ni nzuri kwa kutoa mikunjo usoni, je kwa mliowahi kuitumia ni kweli inatoa mikunjo usoni ?

Nataka kwanza nipate ushuhuda kwa waliotumia kabla sijanunua maana haya Mambo ya biashara unaweza ukanunua alafu kumbe wanaisifia tu uongo ili wapate wateja
 
Inadepend na ngozi yako mimi ilinikataa ikanipa mapele ya kutosha nikampa mtu mwingine akaglow vizuri tu
 
Inadepend na ngozi yako mimi ilinikataa ikanipa mapele ya kutosha nikampa mtu mwingine akaglow vizuri tu
Duh! Hapo ndo mtihan unapoanzia, vipi sahivi wewe unatumia serum gan? Yan mpaka mtu upate ktu Cha kukuweka vizuri ni kazi sana
 
Mimi pia niliwah tumia na mafuta yake lakin nilipata rashes balaaa, lakin kuna mtu mwingine alitumia ngozi ikaglow vzur sana , so it depends , Kama ulikua mtu wa kutumia mafuta makali pia haiwez kukufaa
 
Habari wapenzi?

Nmekuwa nikiona mitandaoni watu wakiitangaza serum ya wix kuwa ni nzuri kwa kutoa mikunjo usoni, je kwa mliowahi kuitumia ni kweli inatoa mikunjo usoni ?

Nataka kwanza nipate ushuhuda kwa waliotumia kabla sijanunua maana haya Mambo ya biashara unaweza ukanunua alafu kumbe wanaisifia tu uongo ili wapate wateja
Mimi naitumia muda sana iko vzr sana ila pia inategemea na ngozi ya mtu
 
Back
Top Bottom