Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 506
- 1,365
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada kujua mazingira ya shule ya Tarime secondary, maana nlichaguliwa 2nd selection kwenda kwenye hiyo shule.
Natokea Mang'ola Arusha na sijawahi fika huko, Mwenye kujua mazingira ya shule pamoja na jinsi ilivyo msaada plz