Waliowahi kufumaniwa watupe ushauri

lsn

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
57
Reaction score
14
Jamani kumekuwa na mivutano mingi sana kuhusu michepuko kwamba ni dili ama sio dili.

Wakati watu wanasisitiza kubaki njia kuu wengine wanadai njia kuu kuna foleni na kwamba wao sio malori hata wabaki njia kuu. Sasa nafasi hii inakwenda kwa waliowahi kufumaniwa tuu, wote wanawake kwa wanaume uwe ulifumaniwa na mke, mume au mtoto wa mtu.

Watupe uzoefu kidogo wa kilichowakuta halafu mwishoni wategue kitendawili hiki kwamba ni dili au siyo.

Wengine ambao hatujafumaniwa bado uwe una m/michepuko lakini arobaini yako bado haijafika, uwe huna lakini unatamani na uko mbioni kutafuta au huna na hutamani, tutapata nafasi kuchangia kesho leo tuwaachie wenzetu watupe uzoefu.
 
Mimi nilishafumaniwa nusu, je naruhusiwa kutoa ushuhuda wangu?
 
ukifumaniwa kuwa mpole....ila ukikutwa umevua nguo basi jiandae kwa lolote,sometymz mbio zinaokoa.
 
the payback..
 

Attachments

  • 4195940_2011_160.jpg
    37.9 KB · Views: 2,845
Waliofumaniwa na kutatuliwa marinda hawawezi changia chochote hapa
 

eleza jinsia yako kabla ya kuendeleaaa

halafu mchana mwema
 
Mtu aliwe rinda aje ahadithie huku thubutu kwanza ht ukimkumbusha vita
 
Ajabu ya kufumaniwa hata kama una mwili Mdogo kama wa kafulila halafu ukamfumania john cena unamfanya utakavyo....yaani mfumaniwa huishiwa nguvu kabisa
 
Tafuta Youtube "A man stuck into another man's wife" hapo uone wakenya walivyo ng'ang'aniana wakati wa shughuli na kufumaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…