Waliowahi kuacha kazi naomba ushauri

Waliowahi kuacha kazi naomba ushauri

Mkuu kabla ya hiyo kazi ulikuwa unafanya mishe gani?? Kwann uliamua kuajiriwa??
Hata hivyo una kimavi asee miezi sita tu unachukiwa na watu wote pole sana..
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.
Msaada ndugu zangu.
Wewe Sio Binti kweli??
 
Huna haja yankuvresign, kama ma boss hawakutaki watakuwachishq kazi.

Pambana, fanya kazi zako kwa bidii na uelevu.

Hao wachawi.usiwawaze wala usiwachukulie, usiwafatilie kabisa. Wakisema "chinichini" wewe piga kazi tu, usiwajibu na jifanye huelewi kabisa kinachoendelea. wewe piga kazi tu iliyokupeleka.
 
Ofisi nzima unasemwa wewe tu???? bhasi jitathiminiii... punguza unokoo na kujipendekeza kwa boss. Kujidai wewe unajua sana miongozo ya kazi wakati wew mwenyewe kuna vitu unazingua
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.

Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.

Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.

Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.

Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.

Msaada ndugu zangu.
Komaa jali kazi Yako, siyo watu wewe SIiyo mgombea udiwani au ubunge...ikiwezekana usiwashobokee kabisa,,,,Acha kulia lía Hakuna pesa rahisi, hizo changamoto Za kwaida katika utafutaji....

Unapoacha kazi hakikisha unachakufanya usije ukadata bure
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.

Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.

Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.

Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.

Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.

Msaada ndugu zangu.
Pole sana....but jitahidi kuangalia wapi unakosea Ili urekebishe.Angalia unavyoongea na wenzako Yani matendo Yako Kwa ujumla.mimi niliresign within 24hrs Sababu ya hasira ilikuwa 2017 Hadi Leo najilaumu ningejua ningevumilia mana pamoja na changamoto nilikuwa nalipwa vizuri tu.Muombe Mungu akupe kibali Kwa mabosi na wenzio unaofanya nao kazi.
 
Hapana ndugu usimjaji hivyo,kwenye sehemu za kazi kuna mambo mengi sana ndugu especially kwa wahindi watu wanaishi kwa kusambaza majungu ila vigezo hawana sasa akija mtu mgeni wanakuwa na hofu kwamba huenda nafasi zao zikawa hatarini sasa wanakupiga majungu ili uondoke wabaki kama zamani kwa kifupi makanjanja huwa hawataki kutokea mabadiliko ya aina yoyote hapo ndipo hujiona salama.
Ni kweli mimi nilikuwa maternity leave niliporudi kazini nikakuta immediate boss wameweka mhindi Kuna kaka nilikuwa nafanya nae kazi bosi wangu aliyepita alinipenda sana so yeye akatumia mda ambao sikuwepo kunisema vibaya Kwa bosi mpya niliporudi kazini yule bosi mpya mhindi alikuwa hanipendi hata nifanyaje, nikaamua kuacha japokuwa ilinicost.
 
Ndio hivyo mkuu,kuna watu bila kusambaza majungu maisha yao hayaendi maana hawana input wala output yoyote kwenye maendeleo ya kampuni
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.

Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.

Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.

Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.

Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.

Msaada ndugu zangu.
Pole Sana Ila ushauli wangu usiache kazi kabla haujapata kazi tafuta kwanza kazi alafu ndo uache kazi

Pili kuhusu majungu jinsi ya kukabiliana kuna njia tatu muhimu za kufata

1.kuwa mkimya narudia tena kuwa mkimya ukimya

2.ji keep bize na kazi zako narudia jiweke bize na kazi zako
 
Back
Top Bottom