Waliowahi kuacha kazi naomba ushauri

Waliowahi kuacha kazi naomba ushauri

Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.
Msaada ndugu zangu.
Isiache kazi kama huna kazi wewe fanya kazi haswa kama punda hayo mengine waachie wennyewe..
 
Kuacha kazi bila plan B na ukatoboa inahitaji ujasiri na roho ngumu sana.
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.
Msaada ndugu zangu.
 
Kusemwa kawaida,hatuwezi kufanana mitazamo,jambo moja linawezakua sahihi kwako kwa mwingine sio sahihi,
Pia huwezi pendwa na watu wote,lakini hujaenda kupendwa huko fanya kilichokupeleka,jitahidi kua perfect kwenye kazi yako kwa kufuata miongozo ya kazi,hakuna kosa dogo kwenye kazi,kosa lolote linawezapelekea hasara kubwa
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.
Msaada ndugu zangu.
Kutokufanya maamuzi ni kosa kuliko kufanya maamuzi yenye makosa kwa sababu utajifunza. Umetambua wanakusema kwanini usimtafute mmoja wao akueleze shida ni nini.

Hakuna umoja kazini kwa watu weusi, licha ya kukusema ila wao kwa wao pia kijicho wanacho.

Mtafute mmoja atakupa ukweli wapi unajikweza kiasi wanaona ni changamoto kwao.

Huwa nakumbuka maneno haya "tutakufundisha kufanya kazi ila hatuta kufundisha jinsi ya kuamua na kumudu changamoto binafsi inayokukabili" Hii niliambiwa na mzungu mmoja na naishi nayo daima.
 
Pole sana, Bocy Muhindi ni mwepesi kupokea Majungu sana, bila hata kutafuta ukweli.

Kama inakulipa sana sana, vumilia kwa malengo, ila Kama inakuzalilisha utu wako, achana nayo.

Majungu na fitina vinamalizwa na ukimya, kuchapa kazi zako vizuri na utulivu, na kutokuwa na makundi.

Kama lalamiko lako ni majungu tu na kuchongewa kwa bosy, hakuna uzalilishaji, be strong, stay, boresha character zako.

Wewe mwenyewe, maana unajua una saving kiasi gani, utaishije baada ya kazi, na mambo mengine unajua zaidi.

Usitafute ujasiri wa kuacha kazi toka kwa watu, waulize tu wa kushauri, ila ujasiri wa kuacha kazi hakikisha ni wakwako, na umeshawishika upo tayari ku face challenges.
Najitahid kufanya kazi vizuri lakini ikitokea nimefanya kosa boss anakua mkali anasema alijua nasingiziwa kumbe ni kweli mimi mbaya
Jmn nimechoka
 
Umechafuliwa nyota yako mkuu. Kwa ufupi una kimavi. Unaweza kusafisha kea njia moja kati ya mbili;

1. Kwenda kwa mganga mwenye uwezo mkubwa

2. Kuongoka na kumkubali Yesu Kristo kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako( njia hii ni nzuri na ni ya uhakika zaidi).
Ningekua sina nyota nisingepata hii kazi maana tulikua wengi nikapata mimi
 
Mimi ni ke
Kazi ya muhindi
Kabla nilikua nafanya kazi tours
wafanyakazi wa kampuni za wahindi majungu ni lazima ndio desturi yao.
Cha kukushauri mimi usiache kabla hujapata kazi nyingine mkononi.
Endelea kufanya nao huku unatafuta kazi sehemu zingine kimyakimya.
Kwenye kampuni za wahindi watu huwa wanakubalika na kupandishwa vyeo kwa kusambaza majungu tu na sio vigezo vya elimu.
Kwa hiyo usije ukajisikia vibaya au ukajiona una mkosi hiyo ni kawaida na wengi tulishapitia hayo.
 
Tatizo boss ananichukia sana
 
Mimi nahisi ana tabia ambazo sio nzuri na hapendi kubadilika,mtu hawezi kuacha kazi kisa kusemwa vibaya,never!
Hapana ndugu usimjaji hivyo,kwenye sehemu za kazi kuna mambo mengi sana ndugu especially kwa wahindi watu wanaishi kwa kusambaza majungu ila vigezo hawana sasa akija mtu mgeni wanakuwa na hofu kwamba huenda nafasi zao zikawa hatarini sasa wanakupiga majungu ili uondoke wabaki kama zamani kwa kifupi makanjanja huwa hawataki kutokea mabadiliko ya aina yoyote hapo ndipo hujiona salama.
 
Unless uwe una tatizo !! BUT huwezi kuishi kwa namna wanavyotaka wengine !! Labda unaonekana ni tishio kwa baadhi yao. Piga kazi na usiendekeze majungu !!! Ukienda kwingine ha hali ikawa kam sasa utafanyaje !!?? (Keep it simple and move forward !!!)
 
Tatizo boss ananichukia sana
Ukiona Boss anakuchukia maana yake amepelekewa maneno ya uongo ya majungu,dawa yake wewe fuata sheria tu katika kipindi chote utakachokuwa hapo hadi utakapopata kazi nyingine.
Andaa CV yako vizuri,tengeneza connections nyingi ili angalau ndani ya miezi 6 upate kazi nyingine.
Ukiacha kazi kabla hujapata nyingine CV yako inachafuka inashuka viwango zingatia hilo.
Ukitaka nasaha zaidi unaweza ukanicheki inbox pia nikuunganishe na magroup ya matangazo ya kazi hakuna kinachoshindikana.
I have too much experience on that.
 
Back
Top Bottom