Waliowahi kuacha kazi naomba ushauri

Waliowahi kuacha kazi naomba ushauri

Kwenye rizki nzuri hayo mambo hayakosekani,

Komaa, kuna furure hapo
 
wewe umeenda kufanya kazi au kutafuta kupendwa na watu?angalia mwisho wa mwezi.unatakiwa uwe na kifua
 
huli kwao,hulali kwao.hawakuvishi.unawaogopa wa nini?haujiuliz kwanini uwa mnaacha nje ya geti wakati wa kutoka?na kila mtu anapita njia yake
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.

Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.

Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.

Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.

Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.

Msaada ndugu zangu.
Kupigwa vita kazini ni kawaida. Kuna mtu unaweza ukawa haujamkosea lolote lakini akaamua tu kukuchukia. Huo uamuzi wa kuresign ndio wanaoutarajia hao wanaokuchukia. Usiwape hiyo nafasi wewe pambana mpaka mwisho watakuelewa tu.

Mimi tangu nireport kazini nilianza kuchukiwa na top boses wa hii sector. Bahati mbaya zaidi mabosi niliowakuta ni vijana. Nilipata fununu ukanda huu kijana ukiwa na muonekano flani unachukiwa na mabosi, maana wana hofu unaweza kuweka competition na kuchukua madem zao. Kwahiyo sikujali. Nilipiga kazi na wala sikua nahangaika na pisi zao.

Na mpaka sasa nasurvive mwaka wa nne huu pamoja na vita vya chini chini wanavyonipiga na kunifrustrate ili niache kazi. Uzuri ni serikalini na nawajibika vizuri kiutendaji.
 
Vumilia
Wenzio tushafanyiwa fitna uchawi,majungu mpaka mwanetu kiDEVU wakamwekea sumu kwenye chakula akafa lakini bado watu tukaKOMAA
MTANGULIZE MUNGU
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.

Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.

Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.

Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekuwa chungu kwangu.

Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign.

Msaada ndugu zangu.
Kawaida mkuu asilimia kubwa ofisini watu wanaishi kwa majungu angalia mzigo ulio nao kwenye familia yako no one is comfortable 100% on this planet others are suffering from poverty some graduates are struggling from unemployment believe me no one is happy 100% currently we have to suffer one side and enjoy in otherside don't give up nothing is easier.
 
Back
Top Bottom