Waliotunga hii sheria "Tovuti zisajiliwe Tanzania" wanaogelea maji wasiyoyajua

Sijawahi kuona thread yenye matusi kama hii....hivi mods mmelala?
hii mada ilikuwa nzuri lakini imeshachafuliwa
 
Hatuwez kuwa watumwa....lazma itumike dot.tz na huduma zitapatkana

Acha ujinga wewe. Tangiapo wewe ni mtumwa tu! Kubadilisha .com kuwa .co.tz haikufanyi uwe uhuru! Kama wewe ni HURU tell me ni Vifaa gani vya IT/Internet ni MADE IN TANZANIA! Pumbaf!
 
inaelekea jamaa wanapolazimisha vitu vyao viuzwe,huwa wanakuwa wamesahau maana halisi ya soko huria, na ushindani unaomshaidia mtumiaji kupata huduma bora. Km watu wanakimbia ushindani kupitia huduma bora, wanaamua kuhujumu wengine ni wazi wameshachemsha game hili. Mbaya zaidi mkonga wa Taifa upo hapo hakuna hata business model ya jinsi ya kutoa huduma za ndani kwa bei nzuri,ili wajasiriamali wachangamkie fursa na kuongeza thamani ya watu kutumia huduma za ndani.
Sawa sawa na lile agizo eti wafanyakazi wote wa Serikali wapande ATCL, biashara inashindanishwa kwa ubora wa huduma sio kwa maagizo.
 
Hahahaha only in Tanzania. Ingia YouTube tafuta Only in Tanzania...
 
Wew ndo bwege wa mwisho situmii pasi ya dot com natumia pasi ya makaa sivai koti navaa kanzu mbwa wa kizungu ww ...

Yaani wewe mawazo yako kama ya bibi anayeitwa Faizafoxy wa JF!!

Una haki ya kutumia pasi ya mkaa wa miti kwa sbb hata umeme huu siyo wa dot.com!!
 
inaelekea jamaa wanapolazimisha vitu vyao viuzwe,huwa wanakuwa wamesahau maana halisi ya soko huria, na ushindani unaomshaidia mtumiaji kupata huduma bora. Km watu wanakimbia ushindani kupitia huduma bora, wanaamua kuhujumu wengine ni wazi wameshachemsha game hili. Mbaya zaidi mkonga wa Taifa upo hapo hakuna hata business model ya jinsi ya kutoa huduma za ndani kwa bei nzuri,ili wajasiriamali wachangamkie fursa na kuongeza thamani ya watu kutumia huduma za ndani.
Sio kila kitu soko huria kuna sekta zingine lazima ziwekewe kipaumbele pia kuna soko huria lingine ushindani wake ni mgumu kulingana na sab za kijiografia kiuchumi na kitechnolojia hii namaanisha kwa mfano hatuwezi kupambana na china kwenye tecknolijia ya viwanda hivyo lazima tuilinde bidhaa yetu dhidi ya bidhaa ya china hata kama ya china ni bora na rahisi kiasi gani. Hivyo ndivyo ilivyo kwenye tovuti herufi mbili za mwisho zinatambulisha utaifa wa nchi husika n.k kwa mfano .tz ni Tanzania .ke ni kenya .rwe ni rwanda .jp ni japan .za ni south africh n.k mtu yoyote akiona tovuti yenye herufi hizo za mwisho anajua moja kwa moja ni ya nchi fulani inampa muongozo kuliko .com ambayo ni universal haionyeshi identity mpk uifungue sana lkn bado sheria haikatazi kununua bidhaa au huduma kwenye tovuti za .com kwa kutumia visa card n.k.
 
.tz issue sio security, maana unaweza kuwa na .tz ila ukahost website nje kwenye security zaidi. Serikali inakomalia .tz ili tu wakitaka fungia website yako waweze.
 
Mkuu,

Zitapatikana lini?

Kaka ...
Tayari zipo siku nyingi huoni tovuti nyingi zipo zinaishia . co .tz za makampuni za NGO zinaishia .org. tz za serikali .gov. tz za media za television .tv.tz n.k
 
Huna uwezo wewe, juzi tu hapa kagame kaleta wataalamu toka Rwanda kusaidia mfumo wa tra, au hujui hilo? eti nao walijaribu kuishambulia JF siku ya uchaguzi, naona walifanikiwa kwa masaa 5 tu na baada ya hapo ni mwendo mdundo hadi leo maana iko nje ya tz.com ndo kisa leo wanataka kampuni zote ziwe chini ya tz.com? hamna kitu kabisa
kuomba wataalam haimaanishi kuwa hutaweza kitu fulani wataalam wanabadilishana ujuzi kila siku hata sisi huwa tunafundisha wanajeshi mbali mbali afrika na sisi pia tunajifunzs nchi zingine n.k
 
SHERIA hutungwa na watu kwa malengo fulani.Sheria hujifia yenyewe pale inapozidiwa na mahitaji.Sheria zinazoweza kudumu ni zile za makosa ya kudhuru watu wengine,kudhulumu au kuhatarisha uhai wa binadamu.SHERIA za makatazo na kuzuwia maendeleo ya sayansi na teknolojia hupitwa na wakati kutokana na mahitaji muhimu ya binadamu.
Sheria sio msaafu zinafanyiwa ammendment pia kulingana na wakati worry out
 
Mbona hilo koti ulilo vaa lime toka hukohuko, jiko analo pikia mkewako pamoja na pasi unayo tumia imetoka huko pia bado wewe wajiona hurutu? Mtumwa MKUBWA wa fikra wee
Unachoweza kupata kwako unafanya hivyo.
 
Kwa nini utaka kujiwekea mipaka katika technologia? Hivi sasa ukihitaji kufanya biashara lazima uwe na mpana ya kukufikishia malengo. Tanzania haina uwezo wa kimataifa kwenye domain yetu co.tz na .com
Kinachoweza kufanywa na .com hata .tz inaweza kwa 100% tofauti ni huduma mbali mbali tunazohitaji kununua kwenye tovuti za nje kama programmes mbali mbali n.k tutaendelea kununua kama kawaida hapa ni usajili wa tovuti tu sawa na usajili wa kampuni brela
 
Mbona hilo koti ulilo vaa lime toka hukohuko, jiko analo pikia mkewako pamoja na pasi unayo tumia imetoka huko pia bado wewe wajiona hurutu? Mtumwa MKUBWA wa fikra wee
Usiseme koti, sema hiyo tecno yake anayotumia kucomment humu JF imetokea wapi? Au anadhani imetengenezewa "Mikocheni Industrial area? "
 
Acha ujinga wewe. Tangiapo wewe ni mtumwa tu! Kubadilisha .com kuwa .co.tz haikufanyi uwe uhuru! Kama wewe ni HURU tell me ni Vifaa gani vya IT/Internet ni MADE IN TANZANIA! Pumbaf!
Kusajili domain sio lazima uwe na vifaa vyako ni sawa sawa na simcard za mtandao ya simu tu yaani tuna makampuni ya simu lkn hatuna viwanda vya simu tuna namba zenye code ya tz 255 tuliyopata kimatifa lkn simu unatumia unayotaka the same applies to domain kwa sheria za kimataifa kila nchi imepata herufi za mwisho za identity yake hivyo ni lazima zitumike kwa kufanya usajili kama kampuni brela hii haihusiani na vifaa.
 
Sijawahi kuona thread yenye matusi kama hii....hivi mods mmelala?
hii mada ilikuwa nzuri lakini imeshachafuliwa
wee mwenyewe ndio unatukana kwa kutumia account zako zingine kwani nani hakujui wewee humu
 
Back
Top Bottom