Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

Status
Not open for further replies.
Sera kubwa ya Chadema uongo, majungu na fitina je ikithibitika kuwa serikali haihusiki na kisa hiki utasema nini? Dr. Ulimboka hakuwa nabii kama Yesu subiri uchunguzi ufanyike usitulee porojo

Chama
Gongo la mboto DSM

Tangu Uhuru hakuna jambo hata moja CCM imesema la ukweli. Serikali yake imeua kuanzia Karume .........mpaka wakina kombe na hatimae marehumu aliye hai aka Balali. Dr wetu ni mungu kamsaidia ila wao walijua hatafika asubuhi.

Die hard Dr and tell the whole nation what happened and who was involved.
:sleepy:
 
mku matola huyu jb asikusumbue...unakumbuka issue ya mwakymebe alivyokuwa analaani serikali na TISS kwa ujumla na akaleta ile report yake? huyu ni mlalahoi, mwongo flani hivi mitaa ya kati mjini...hata hajui abc za TISS. yeye na mleta mada hii ni wajinga wa kutupa..wanadanganya watu wazi wazi..
 
Tumefurahishwa na taarifa ya Pigo la ajali lililomkuta mmoja wa Kikosi kilichotumwa Huko AK kumwangamiza Dr Ulimboka. Ajali hiyo ambayo mpaka sasa ni Siri ya Kikosi haijulikani ilimpata wapi na kwa nini lakini kikosi kimeonekana kujitosa kumtibia mwenzao ambaye alitapakaa damu na kupoteza nyuzi kadhaa walizoziandaa juu ya kutafuta wapi alipo Dr. Ulimboka.
Hii taarifa tuiweke sehemu gani, ya kiintelijensia, tetesi au udaku?
Licha ya kutotajwa huyo mmoja, kuna mengine yenye utatanishi.
Ajali ya aina gani, ya gari?, ya kujikwaa? ya kujigonga na mlango?
Ni hii ya mwisho, hata haifahamiki.
​Nashindwa kuelewa mengi, tuekee wazi.
 
Umedangaya!

Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!

Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!

Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,

Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!

Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!

Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!

Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!

Niliwahi kukuheshimu sana na zile stori za mwakyembe, then ukaja na yule aliyepiga mbizi pale kigamboni...
Kumbe wewe ni mpuuz sana, ulaaniwe :fish:!
Nyie ndo manafanya JF ionekane kama kijiwe cha kahawa!!

Achana naye mjinga mjinga tu huyo hakuna lolote alijuwalo, amekalilishwa tu movie za James Bond na filamu CIA na FBI + KGB basi kichwa kimejaa maji anadhani hili ni jukwaa la wapumbavu wenzake.

au amesoma sana vitabu vya willy gamba basi akitembea anajiona ni mtu wa kujua kila kitu.....
 
Achana naye mjinga mjinga tu huyo hakuna lolote alijuwalo, amekalilishwa tu movie za James Bond na filamu CIA na FBI + KGB basi kichwa kimejaa maji anadhani hili ni jukwaa la wapumbavu wenzake.

Af hata mchawi hajisifiagi!
 
Iacheni timu ya kamanda Kova ifanye kazi yake haijashindwa kutekeleza majukumu yake!! Porojo zenu wekeni pembeni

Chama
Gongo la mboto DSM

Wacha upuuzi wako kijana. Uliona lini wauaji wakajichunguza? Acha uvivu wa kufikiri
 
Serikali ijiandae

Tumefurahishwa na taarifa ya Pigo la ajali lililomkuta mmoja wa Kikosi kilichotumwa Huko AK kumwangamiza Dr Ulimboka. Ajali hiyo ambayo mpaka sasa ni Siri ya Kikosi haijulikani ilimpata wapi na kwa nini lakini kikosi kimeonekana kujitosa kumtibia mwenzao ambaye alitapakaa damu na kupoteza nyuzi kadhaa walizoziandaa juu ya kutafuta wapi alipo Dr. Ulimboka.

Kikosi Hicho ambacho kinalalamika kukosa ushirikiano na wenzao wenye makazi ya Kudumu AK, kinakiri mpaka sasa Madaktari wamekuwa werevu zaidi wa kuchezesha shilingi hii kuliko wao. Kikosi hiki ambacho kama nilivyoeleza kinaundwa na Askari wa majeshi yetu yote, wale ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakishiriki vitendo haram ndani ya jamii kama ujambazi na operation za kuua kwa malipo, hawawezi kwa lolote kuacha kutimiza lengo lao kwa kuwa kama wakiasi majeshi haya basi wako hatarini kushtakiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwa sasa kifungu cha kitanza kimeshalegezwa.

Napenda kuitahadhalisha Familia ya Dr. Ulimboka na wazee waliotumwa kumpoza Dr. Ulimboka kwamba akae kimya au atafutiwe kazi nje ya nchi asirudi Tz, au asingiziwe amekufa ili jamii Imsahau, wakifanya kitendo kama hicho watakuwa tayari wameshahalalisha serikali kummaliza Mtu huyo haraka. Kama nilivyosema Dr. Ulimboka anawafaham Fika waliomtendea Kitendo hicho na miongoni mwao ni Ndugu zake waliomo kwenye “system”.. HILO LIKO WAZI KABISAA

Wazingatie ushauri wa wananchi wengi kwamba anatakiwa arudi TZ kwa siri kubwa na aibukie kwenye vyombo vyote vya habari LIVE na aelezee sakata lake mwanzo mwisho na hapo ndipo serikali itashindwa kumuua kwa maana macho ya jumuia zote yatakuwa Hapo. Zaidi ya hapo atabakia kuwa historia kama Balali..

hivi kweli serikali imedhamiria kumuua ULIMBOKA,Inasikitisha kuona chombo kama serikali chenye ulinzi wote kinahaha kama mwanamke au kuku anaetaka kutaga, kwa mtu ambaye hana hata chembe ya ulinzi! kumbe ni mbwemwe tu mnaogopa nguvu ya umma na bado!!!!!!:spy:
 
Serikali ijiandae

Tumefurahishwa na taarifa ya Pigo la ajali lililomkuta mmoja wa Kikosi kilichotumwa Huko AK kumwangamiza Dr Ulimboka. Ajali hiyo ambayo mpaka sasa ni Siri ya Kikosi haijulikani ilimpata wapi na kwa nini lakini kikosi kimeonekana kujitosa kumtibia mwenzao ambaye alitapakaa damu na kupoteza nyuzi kadhaa walizoziandaa juu ya kutafuta wapi alipo Dr. Ulimboka.

Kikosi Hicho ambacho kinalalamika kukosa ushirikiano na wenzao wenye makazi ya Kudumu AK, kinakiri mpaka sasa Madaktari wamekuwa werevu zaidi wa kuchezesha shilingi hii kuliko wao. Kikosi hiki ambacho kama nilivyoeleza kinaundwa na Askari wa majeshi yetu yote, wale ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakishiriki vitendo haram ndani ya jamii kama ujambazi na operation za kuua kwa malipo, hawawezi kwa lolote kuacha kutimiza lengo lao kwa kuwa kama wakiasi majeshi haya basi wako hatarini kushtakiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwa sasa kifungu cha kitanza kimeshalegezwa.

Napenda kuitahadhalisha Familia ya Dr. Ulimboka na wazee waliotumwa kumpoza Dr. Ulimboka kwamba akae kimya au atafutiwe kazi nje ya nchi asirudi Tz, au asingiziwe amekufa ili jamii Imsahau, wakifanya kitendo kama hicho watakuwa tayari wameshahalalisha serikali kummaliza Mtu huyo haraka. Kama nilivyosema Dr. Ulimboka anawafaham Fika waliomtendea Kitendo hicho na miongoni mwao ni Ndugu zake waliomo kwenye system.. HILO LIKO WAZI KABISAA

Wazingatie ushauri wa wananchi wengi kwamba anatakiwa arudi TZ kwa siri kubwa na aibukie kwenye vyombo vyote vya habari LIVE na aelezee sakata lake mwanzo mwisho na hapo ndipo serikali itashindwa kumuua kwa maana macho ya jumuia zote yatakuwa Hapo. Zaidi ya hapo atabakia kuwa historia kama Balali..
Una uhakika na unachokizungumza hapa?Acha kabisa kuchonganisha wananchi na serikali yao mkuu!
 
Umedangaya!

Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!

Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!

Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,

Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!

Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!

Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!

Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!

JANSonbourne
Em soma vzr hiyo post kwani AK ilimaanisha kikosi. Vinginevyo na ww utakuwa muongo Period.
 
Last edited by a moderator:
waliomteka ulimboka hawakuwa na nia ya kumuua, kama wangekuwa na nia hiyo asingeachwa hai. kwani walikuwa na bunduki, pia wangeweza hata kumvunja shingo au hata kumnyonga akafa, kinachoonekana kwa wale wana intelijensia wataelewa, hakukua na nia ya kumuua, bali walikuwa na nia ya kumuadibisha tu kwa njia ya mateso alafu aachwe hai.

Kwa wale wenye akili watakubaliana na mimi kuwa, kiongozi wa mgomo kuuawa si rahisi sana kama wagomaji, kwasababu machafuko yanaweza kutokea mfano wananchi wangeandamana kupinga icho kitendo..hivyo hakukuwa na nia kabisa ya kumuua, kama nia hiyo ilikuwepo, hakika asingekutwa hai, angepiga tu bunduki hata palepale alipotekewa, angefuatwa nyumbani kwake akapigwa kama wale waliomfata Pro. Mwaikusa, angefanyiwa chochote na ingejulikana ni majambazi tu yamefanya hivyo....kama ulimboka ana akili, namshauri akipona aachane na mikumbo, atumie elimu yake ambayo kodi za wananchi watz masikini zilimsomesha ili wananchi hao wasife na pia ajenge maisha yake kabla hajazeeka. labda kama anataka kuwa mfia mgomo ndo aendelee kujilipua.

pamoja na kwamba ipo strong allengation kwamba serikali yaweza kuwa imehusika, cha ajabu ni kwamba ushahidi haupo. sasa kuituhuumu selikali si sahihi, labda kama serikali itakuwa inatuhumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia wake ambapo hata hapo serikali inaonekana haijawa zembe......ulimboka ukipona, kama unanisikia, achana na mikumbo, tafuta maisha yako watoto wako waje waishi vizuri utakapozeeka au ukichukuliwa na Mungu.

Umeniacha hoi na wito wako! umeandika kiufundi kweli,inaelekea unahabari zaidi unajua.
 
hii thread inanikumbusha mwakyembe alivyokuwa hospitali kule india.

zilisikika na kusomwa kauli kama "mwakyembe akipona na kurudi nyumbani salama ataanika kila kitu".
the rest is history. check jamaa sasa anavyohaha.....anapanda hadi treni "kajamba nani" ili tu kuwafagilia waajili wake CCM ingawa yeye ni m-CCJ damu-damu!

ulimboka (hasimu wa serekali just like mwakyembe alivokuwa hasimu wa CCM hadi kuunda CCJ) anaweza kurudi salama kama "malafyale" mwenziwe mwakyembe. hatujakaa sawa mara anateuliwa kuwa mbunge maalumu na kabla ya mshangao haujaisha...huyoo naibu waziri wa afya!!
hii ndio comic TZ ya JK. stay tuned, dont go away!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom